Search results

  1. Queen Kan

    Nauza Cape ya scania

    Nauza Cape ya juu ya kwenye kichwa cha scania, hali take imetumika na bei ni laki 5. Mawasiliano 0766201676
  2. Queen Kan

    Nina degree ya Ualimu, natafuta kazi ndani au nje ya field ya Elimu

    Rejea kichwa cha uzi, mimi ni kijana mwenye degree ya ualimu natafuta kazi ndani ya field na hata nje ya field ya Elimu. Uzoefu ni katika kazi ya ualimu, cashier katika hospitali na Supervisor katika kituo cha chakula. Asanteni
  3. Queen Kan

    Natafuta chimbo la vijora

    Habari za jioni wakuu, msaada anayefahamu chimbo la vijora vya jumla kwa hapa Dar
  4. Queen Kan

    Ruwaza

    kwa ajuaye maana ya ruwaza za sauti
  5. Queen Kan

    Imeniuma sanaa!

    Habari wanaMMU,...... Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia. Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe kwa kisingizio kuwa mimi niko shule( niko chuo kikuu). Nikamjibu sitaweza, akanambia sawa ila yeye...
  6. Queen Kan

    Naomba kujuzwa

    .....habari, naomba kujuzwa muda muafaka wa mama mjamzito kuanza kuhudhuria clinic... na juu ya taarifa zote zinazohusiana na ujauzito.
  7. Queen Kan

    Dar to Mbeya

    Dah! ndo meingia Mbeya, hvi kuna wing ya JF pande hizi?
  8. Queen Kan

    Rita

    Salam zenu!! niko hapa RITA nafatilia cheti changu cha kuzaliwa zaidi ya wiki moja, kila nikija nazungushwa njoo kesho, njoo kesho. Cha kushangaza kuna watu nawajua wamekuja siku yakwanza ya pili wamepata cheti!!! kwani mnatumia vigezo gani kutoa hivyo vyeti?? Najua mpo na mtanijibu
  9. Queen Kan

    Ban

    Habari!
  10. Queen Kan

    Posh

    Habari, i just wanna let u know that i've changed ma identity from queen kan to POSH
  11. Queen Kan

    Once again....

    Habari za asubuhi jaman...once again i wanna share this sweet en unique feelngs am feelng right now with you! I feel like am flyng witht wings, i feel yonger like a one year gal....am in love once again. ts only now that i realze that whnvr happs ts happen 4the best! am so happy
  12. Queen Kan

    Natamani nimuache, ila....

    Habari zenu, naamini mko wazima. Niko kwenye mahusiano nae kwa muda wa miaka minne, tunapendana sana na hajawahi onesha kunivunjia heshima hata siku moja, isipokua migogoro midogomidogo ya kawaida, katikati ya mwaka jana albadlika, kila nikimpgia simu eti yuko busy. Mimi niko Dar yeye yuko nje...
  13. Queen Kan

    Hello

    Hi guyz
Back
Top Bottom