Baridi ya hapo iko je. kama unataka kampani sema nikupe maujanja ya mbeya pale nimekaa sana
Dah! ndo meingia Mbeya, hvi kuna wing ya JF pande hizi?
Karibu sana Mbeya mkuu Queen Kan,nipo hapa Mby pia,hope twaweza onana!Dah! ndo meingia Mbeya, hvi kuna wing ya JF pande hizi?
asante, nimeshakaribia
joto, si unajua lilivyojingi dar!
nazi nimeleta moja, ila ina macho manne! Nikupe?
kukina na kudasalama! Ute utungale jujugwe
kukina na kudasalama! Ute utungale jujugwe