Search results

  1. apakak

    Youtube Adsense inahitajika

    Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
  2. apakak

    RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

    Walishawahi kuwa Lieutenant Generals zaidi ya wawili kwa wakati mmoja - Wa kwanza alikuwa Chief of Staff - Wa pili alikuwa Lt Gen Charles Makakara, Mkuu wa NDC( National Defence College) - Wengine nimewasahau. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. apakak

    Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

    Mi5 - Military Intelligence Section 5 . Kwa sasa wanaitwa Security Service Mi6 - Military Intelligence Section 6 . Kwa sasaa wanaitwa Secret Intelligence Service(SIS) Hizo taasisi mbili zina " Military" hapo kwasababu zilianzishwa World War 1 ambapo taasisi zote za ulinzi na usalama zilikuwa...
  4. apakak

    Kuna viashiria vyote vya hujuma kwa Taifa, uchunguzi wa haraka unahitajika kuokoa Taifa

    Umeiba maandishi ya Moshe Dayan Sent using Jamii Forums mobile app
  5. apakak

    Baada ya kuagiza mzigo Aliexpress

    Next time tumia Aramex Shop and Ship
  6. apakak

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kasi Internet Vodacom ipo vizuri. Ila bei imechangamka kidogo
  7. apakak

    Membe Benard Kamilius Please acha wengine waongee siyo wewe

    Membe ni mnafiki sana. Huu ujinga aliuanza zamani sana
  8. apakak

    Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

    Umesomea nini Urusi?
  9. apakak

    Shikamoo CCM, nyie noma

    Mwalimu ana deni la 100M . Kasomea Russia ama?. Maana navyojua mimi madakatari waliosomeshwa nje ya nchi ndo wanasogelea hiyo 100M
  10. apakak

    Kero: Vodacom Tz ni wezi sana nimeshindwa kuwavumilia

    Chagu wireless uliyoirusha, bonyeza properties na uwashe kitufe cha "metered connection"
  11. apakak

    Kikosi JWTZ kuwa na askari Takribani 200 tu Mpakani ni masihara

    Askari 200 ni wengi sana. Hiyo ni sawa na Battalion moja ya kimapigano. Military Science inasema section/fire team moja ina askari 9. Section tatu zinatengeneza platoon. Platoon tatu zinatengeneza Company(Kombania). Kombania tatu zinategeneza Battalion(Kikosi). So 9 * 3*3 * 3 = 243 Soldiers.
  12. apakak

    Anayejua kuhusu kozi ya cadeth

    CDF ni madaraka na si cheo. Field Marshall ni General mwenye nyota tano. Mara nyingi anaongoza "Theatre of War"
  13. apakak

    Anayejua kuhusu kozi ya cadeth

    Private Lance Corporal Corporal Sergeant Staff Sergeant Warrant Officer level 2 Warrant Officer Level 1 Second Lieutenant First Lieutenant Captain Major Lieutenant Colonel Colonel Brigedier General Major General Lieutenant General General Field Marshall Commander In Chief -...
  14. apakak

    Tetesi: Ni kweli makao Makuu ya Jeshi Dodoma yanajengwa na China?

    Sasa kama yanajengwa na China kuna shida gani?
  15. apakak

    Vitambulisho vya Taifa majanga, NHIF majanga

    Kama kuna mtu aliyepata passport bila kitambulisho ajitokeze atupe ushuhuda Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom