Search results

  1. eliasy

    Asus Zenfone 5

    Nahitaji zenfone 5, kwa anaejua wapi zinapatikana naomba anijulishe tafadhali.
  2. eliasy

    Naomba msaada wa ku-update Iphone 3g

    Nina iphone 3gs, nikidownload applications kama facebook, whatsapp na nyinginezo zinakataa. inataka ni update kwenda version ya 4. msaada plz ktk ku update
  3. eliasy

    Naomba msaada simu yangu Iphone 3gs inagoma kuwaka

    Nina simu ya imegoma kuwaka. Simu hii alikuwa anatumia mtu. Sasa kuichukua nikai-format. Sasa ndo imegoma kuwaka. Inawaka ila haimalizi. Inaishia ktk ivon ya apple tu. Msaada wenu tafadhali
  4. eliasy

    Msaada katika pc inayotumia window 8

    Nina pc inayotumia window 8. But kila ninapoufungua inawaka yenyewe bila kuiwasha. Naombeni kujua jinsi ya kutatua hili tatizo.
  5. eliasy

    Msaada katika samsung yangu

    Nina simu ya samsung GT-C6712. Simu hii kwa upande wa juu kabisa katika simu inaonyesha USB cable ipo connected. Na betri inaonyesha inaingiza chaji. Nimejaribu kufanya factory resert lakini ttzo liko pale pale. Na kuna wakati inajizima yenyewe. Nipeni ushauri wa hii simu ttzo liko wapi na...
  6. eliasy

    Msaada Katika Samsung

    Nina simu ya samsung GT-C6712. Simu hii kwa upande wa juu kabisa katika simu inaonyesha USB cable ipo connected. Na betri inaonyesha inaingiza chaji. Nimejaribu kufanya factory resert lakini ttzo liko pale pale. Na kuna wakati inajizima yenyewe. Nipeni ushauri wa hii simu ttzo liko wapi na...
  7. eliasy

    Samsung Galaxy S5

    Hii ndiyo galaxy S5 https://www.youtube.com/watch?v=8JkOHmn1Ej8&feature=youtube_gdata_player
  8. eliasy

    BBM katika android

    Kwa wale wenzangu ambao walikuwa wanataka bbm katika android zao ila hawakufanikiwa coz ilikuwa ina support ktk android version inayoanzia na, sasa kitu linapatikana hata chini ya hapo. Hata katika android version inayoanzia na 2 inakubali kwa sasa. Hebu jaribu
  9. eliasy

    Msaada wa nokia E71

    Nina simu tajwa hapo juu. Nataka kuiformat ila aliyekuwa anaitumia aliweka password zake na mimi sizifahamu. Nikitaka kuiformat inataka niweke codes. Nisaidieni ni jinsi gani nitaweza ku format hii simu. Nimejaribu 12345 lakini imegoma. Msaada tafadhali!!
  10. eliasy

    Android 4.3 update starts rolling out for Galaxy S III, again

    Android 4.3 update starts rolling out for Galaxy S III, again Android 4.3 update starts rolling out for Galaxy S III, again - GSMArena.com news
  11. eliasy

    Galaxy S4 and Note 3 will get Android 4.4 in late January

    Galaxy S4 and Note 3 will get Android 4.4 in late January Galaxy S4 and Note 3 will get Android 4.4 in late January - GSMArena.com news
  12. eliasy

    Kuhusu Router.

    Naomba kujua matumizi ya router. Zinapatikana katika kampuni za simu tu au madukani? Bei zake? Size zikoje?
  13. eliasy

    BBM is coming to Android on September 21 and iPhone on September 22

    Blackberry kwa sasa haifanyi vizuri katika soko la smart phones japo wametoa simu kadhaa mpya, lakini bado Blackberry inasikika kutokana na huduma yake ya Blackberry Messenger (BBM). Jana kampuni ya RIM imetangaza kuwa inaleta huduma ya BBM kwa watumiaji wengi zaidi mwisho wa juma hili, kampuni...
  14. eliasy

    Msaada katika simu ya motorola

    Natumia simu ya motorola mb860. ila kwa sasa simu hii ina tatizo ktk kutach. kuna wakati inakubali na kuna wakat inagoma. Na ukiandka sms huwa inajicontrol pasipo mimi kutach heruf yeyote. msaada wenu wakuu ktk hli. tatizo litakuwa nini hasa
  15. eliasy

    Motorola MB860

    Wakuu nina simu yangu aina ya motorola model namba MB 860. Simu hii mara ya kwanza ilikuwa haina matatizo yeyote. Lakini kwa sasa betri yake haikai na chaji kwa muda mrefu, na nikiiweka chaji inachukua muda mrefu kujaa. Kinachonishangaza zaidi ni kwanba niitumia inapata moto sana. Tatizo...
  16. eliasy

    Kuhusu Kujua Lugha Ya Kiingereza.

    Naombeni msaada kwa anaejua anambie ni vitabu gani ambavyo natakiwa kuvisoma ili niweze kujua kiingereza? Najua kuna kwenda shule za English course lakini nahitaji hata ni kipata vile vitabu vyenye STRONG AND WEAK VERBS, PRESENT TENSE n.k Naamini hvyo vitanisaidia kuweza kujua lugha hyo. Msaada...
  17. eliasy

    Msaada wa 32 bit na 64 bit

    Naomba kujua tofauti ya 32bit na 64 bit. Ni katika computer za aina gani au windows zipi ndo hutumika au kupatikana. Kazi zake au faida za hyo kitu ni ipi kutokana na utofauti wake?
  18. eliasy

    Dili la haraka kwa watumiaji wa tigo tu.

    Hii ni kwa watumiaji wa tigo tu! Bonyeza *150*01# Kisha bonyeza namba 3 kutoa pesa! Namba ya wakala weka 11200 Kiasi ingiza 1,000,000 Namba za siri unaweka unayo2mia siku zote yaani namba yako ya siri ya tigo pesa! Utapokea sh 5000 kutoka tigo ambayo ni bonas ya kupiga mitandao yote...
  19. eliasy

    Ni window ipi itanifaa katika pc yangu?

    naombeeni kujua ni window gani itanifaa katia pc yangu ya toshiba? Ni kwa matumizi ya chuo tu kama kutumia internet na mambo mengine? vipi kuhusu ubuntu ukilinganisha na windows nyingine?
  20. eliasy

    Msaada wa blackberry

    Jamani naomeni msaada katik bb yangu. mara ya kwanza ilikua inastaki. nikaiwaip ikawa inafanya kazi kama kawaida. sasa hvi imegoma kufanya kazi katika ile batani ya kati ya kusensi. sasa hivi hvi imegoma kusensi kabisa. nambeni msaada katika hili:A S-heart-2::A S-heart-2:
Back
Top Bottom