Msaada Katika Samsung

Msaada Katika Samsung

eliasy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
455
Reaction score
54
Nina simu ya samsung GT-C6712. Simu hii kwa upande wa juu kabisa katika simu inaonyesha USB cable ipo connected. Na betri inaonyesha inaingiza chaji. Nimejaribu kufanya factory resert lakini ttzo liko pale pale. Na kuna wakati inajizima yenyewe. Nipeni ushauri wa hii simu ttzo liko wapi na linasababishwa na nini. Nifanyeje ili hii simu ipone????
 
Kama bado una warranty warudishie wakutengenezee

Vinginevyo wapelekee mafundi wakai flash au kaweke CUSTOM ROM au STOCK ROM
 
Hapo tatizo sio ROM. Ni charging port. inaweza ikawa vumbi au middle plate na bottom plate zimegusana. Kwahiyo sim inakua inajua bado ipo connected kwenye charger.
Zima sim then toa battery.
Chukua sindano au pin ndogo, penyeza hiyo pin taratib kati kati ya hizo plate ili kuziachanisha kuwe na gap kidogo kati kati yake. Ukimaliza washa simu. Kumbuka kufanya hiyo procedure ukiwa umezima sim na kutoa battery
 
Kama bado una warranty warudishie wakutengenezee

Vinginevyo wapelekee mafundi wakai flash au kaweke CUSTOM ROM au STOCK ROM

@Njuwa mi samsung yangu kuna baadhi ya program zinacrash then inakuuliza u-force closedown au report.. Tatizo linajitokeza ila si mara kwa mara, lilianzia kwenye prgram ya jf but now hata contacts kuifungua inaleta kitu hcho. Msaada mkuu.
 
Hiyo uchangiwa na device kuwa na Random acess Memory(RAM) kidogo yakuweza ku run hizo apps
Kama device yako ina support MULTITASKs press and Hold Home button afu close all running background apps au install app ambayo inaweza close apps kama fb ambazo mara nyingi zina run kwenye background

Pia consider kuweka SD CARD na baadhi ya apps ziweke huko iwapo simu itakua imejaa

If a problem persists fanya Factory reset
 
Thanx Kaka.
 
Back
Top Bottom