Zinakuwa connected na umeme au ni za kuchaji?????
Naomba kujua matumizi ya router.
Zinapatikana katika kampuni za simu tu au madukani?
Bei zake? Size zikoje?
Zipo ndogo za usb ambazo zinsambaza wireless arround 100mtrs ambayo unachomeka modem yako kwenye hiyo router then router unaiconnect kwa pc yako lakini pia zipo kubwa ambazo wired na wireless na hutegemeana na uwezo wako likin zile kubwa zinatumia adopters
Nashukuru kwa maelezo mazuri.
Sasa nilikuwa nahitaji kwa matumizi ya simu na laptop. Ila ambazo ni wireless. Kwa matumizi ya kawaida tu.
Je, hizo zitakuwa za kuchaji au zinakuwa connected katika umeme?
Hii huwa connected kwenye umeme, ina adapterJe, hizo zitakuwa za kuchaji au zinakuwa connected katika umeme?
DIR-412 3G WIRELESS N150 ROUTER
The DIR-412 allows you to connect a 3.5G USB adapter for mobile broadband connectivity. The incoming connection is then shared via a 802.11n wireless network. The standard Ethernet port can be used as an primary or backup connection.
Ila hii router(DIR-412 3G WIRELESS N150 ROUTER) haiko compatible na modem za Huawei E303. Kama kuna mwenye router ambayo iko compatible atujulishe.Kabla ya kununua router check compatibility na modem yako.
Kwahyo kama unayo hyo modem ya huawei E303 haiwezi kusoma?
hELLO, BEI NGAPI SIKU HIZINione/PM nikupatie "Pocket Size" Router/wireless,unachomeka kwenye Socket or U can also use USB Port/Cable as a source of power. Unachomeka Modem yako kisha unatumia Vifaa Lukuki kama Vile Simu/Ipad/tablet/PC/Smart TV/Game Consoles etc. Price Tsh85,000/- Inasambaza Signals umbali 100m, with a very Stable & Customizable Software(DD-WRT). nita-Upload Picha Very Soon.