Msaada katika samsung yangu

Msaada katika samsung yangu

eliasy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
455
Reaction score
54
Nina simu ya samsung GT-C6712. Simu hii kwa upande wa juu kabisa katika simu inaonyesha USB cable ipo connected. Na betri inaonyesha inaingiza chaji. Nimejaribu kufanya factory resert lakini ttzo liko pale pale. Na kuna wakati inajizima yenyewe. Nipeni ushauri wa hii simu ttzo liko wapi na linasababishwa na nini. Nifanyeje ili hii simu ipone????
 
Niliwahi kuwa na tatizo kama hili nikagundua njia ya charge ilikuwa chafu,jaribu kusafisha.
 
Back
Top Bottom