eliasy
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 455
- 54
Wakuu nina simu yangu aina ya motorola model namba MB 860. Simu hii mara ya kwanza ilikuwa haina matatizo yeyote. Lakini kwa sasa betri yake haikai na chaji kwa muda mrefu, na nikiiweka chaji inachukua muda mrefu kujaa. Kinachonishangaza zaidi ni kwanba niitumia inapata moto sana. Tatizo litakuwa betri au ni simu?