Naomba msaada simu yangu Iphone 3gs inagoma kuwaka

Naomba msaada simu yangu Iphone 3gs inagoma kuwaka

eliasy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
455
Reaction score
54
Nina simu ya imegoma kuwaka. Simu hii alikuwa anatumia mtu. Sasa kuichukua nikai-format. Sasa ndo imegoma kuwaka. Inawaka ila haimalizi. Inaishia ktk ivon ya apple tu. Msaada wenu tafadhali
 

Attachments

  • 1409323597671.jpg
    1409323597671.jpg
    32.8 KB · Views: 88
Software ya ku install mkuuu hapo ni balaa uko mkoa gani
 
Back
Top Bottom