Duuh! Sio kwamba bei imeporomoka ni kwamba bei ya sasa ina uhalisia kuliko ya zamani. Tatizo ni kwamba watu walishazoea kuibiwa kwa kupigwa bei za juu.
Hahaa pole sana aisee. Ila kujibu mapigo chukua hizo message mtafute mke wa huyo jamaa muonyeshe zote wakati pressure zimempanda muombe uzishushe kwa kumpa game. Hiyo itakupunguzia makali at the same time jamaa utakuwa umemharibia home kwake mkewe akimuwashia moto hivyo atamkimbia demu wako.
Kwani ulivyolitengeneza hilo faili lilikuja kutoka wapi? Swali lako ni kama vile ulitaka kapu la uchafu ulione na uchafu uuone uupeleke jalalani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hiyo test ni ya rafiki yake ... fanya kumfuatilia nyendo zake utajua ukweli. Kidisha private investigator akuletee file lake. Kupandisha pressure kutakumaliza bure .... ukiwa na watoto tegemea lolote ila uwe umewapa guidelines ili usijejilaumu bure kwa kukaa kimy.
Sent from my SM-N910H...
Kila chuo kitakua na ONLINE APPLICATION option it is even faster and better than tcu tehama. Wanafunzi watakaokubalika ndiyo majina yao yatapelekwa wizarani na vyuo husika yakiwa Sorted
Jeshi lina vitengo vingi hicho cha kuvunja mawe na mazoezi mengine ni commando's, vichwa vipo vingi tuu tena vikali ila havitumiwi ipasavyo kufanya innovations etc. That's one area hatujaitazama vizuri kitaifa
Waajiriwa wa tz siyo matajiri kwa sababu waajiri wao hawawalipi kimaslahi ili kuwawezesha kuwa matajiri, pia tajiri wa kiafrika au kihindi kukupa partnership kwenye kampuni ni kiama
KUNA WATANZANIA WALIKUA TAYARI KUONA UD INAKUFA ILI WAJIBINAFSISHIE, ULIMBUKENI WA KUTISHA.
VYUO BINAFSI VIJIKUZE KITAALUMA NA KUPATA CREDIT WITH TIME SIO VINAANZA UCHOCHORONI KWA DILI YA KUNUNUA WANAFUNZI. KUJIUNGA NA CHUO KUWE HURIA SIO KUPOTEZANA KUPELEKANA VYUO VINAVYOZIKA TAALUMA ZA VIJANA.
Waambie waache kuleta mosaada mpaka watanzania walio wachache watakapoacha wizi, ufisadi, rushwa, uuzaunga, ukwepaji kodi na kujilimbikizia kwa migongo ya ofisi za serikali. Then hao wafadhili wasipokusikia uwapeleke mahakamani utakua na kesi nzuri sana watakulipa fidia.
Sasa nini maana ya kuitwa baba wa taifa ... kama bado familia inammiliki. Baba wa taifa atumike kwa yote mazuri na mabaya japo tusingependa atumike kwenye mabaya ila keshakua baba wa taifa hawezi kwepa hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.