Kwa wa taalam mm nitaka nipate shule ya haya mambo hasa uwekezaji in term of international hisa na bond wapi wanaconduct semina fupi fupi za wiki au mwezi
Kwani nani ndio stelingi wa hii story ?
Naona Mathew anataka kumzidi steringi Elibariki Ila ipo poa sana hongera nasa LEGE
JE Una STORY NYINGINE VITABU UNAUZA ?
?vipi hukusu hati miliki ya hii story kama wewe ndio mtunzi pamoja na kutuburudisha ila na wewe upate asali ili tuendeleaa...
mimi tukio ninalo kumbuka tuliona gari inakuja tukasema tulale barabarani tuone nini kitatokea nakumbuka nilikuwa na age kama 5 or 4 years na gari kuiona kijijini ni kama mara moja kwa mwezi kilicho tokea yule dereva alisimamisha gari akachukua fimbo akanichapa wenzangu wakakimbia baada ya...
Huyu Lege nimemuelewa sana na kw jinsi alivyo eleza na kwa utaalamu wangu ingawa sijafanya experement naamini itawaka kifupi mi mtu wa IT Nikiaangalia logic z lege gari itawaka kwa logic na wanao sema gar haiwaki wanashidwa toa sababu kwanini haitawaka . Then lege ndio ameanza hapo sabab znaz...
Mungu mwema ila kuna mambo mengine tunafanya uzembe kwa kweli kama watu walikuwa chini ya arthi na hakuna juhudi zozote za kuwaokoa zilizo fanyika kama sio huyo mtu aliye kwenda kufuata pump ingekuwaje.
Kama ilikuwa imezima usiwe na wasiwasi vyifaa vya electronic vya enzi hizi havina shida tafutafundi aifungue aisafishe blower then assembe na kuwasha itapiga mzigo bila shida yoyte ila .
Note: Kama upo ukanda wa pwani ni vizuri hio activity uifanya within two day to avoid rust.
Mimi hili tatizo kwangu halijatokea ila mtaaalamu wa rangi alinishauri nje nisiweke gypsup powder kwa sababu ukipata maji rangi yote inaharibika / banduka badala yake niweke white cement ila ndani niliweka gypsum powder na tatizo hilo sijaliona na huu ni mwaka wa 5 tangu nipake rangi
ila...
ni kweli ila kwangu mimi nazani inabidi tufanye kitu kama taifa kuhusu hi biashara kila mtu kwa nafasi yake na taifa kwa nafasi yake na kama imesindikana tuambiwe kuwa hii kazi tumeshidwa
Sheria za nchi lazima zifuatwe wether we ni jirani au nani wahamiaji haram hawatakiwi lakini je...
waungwana nimekaa usiku huu nikafikiri na kuona niwashirikishe katika hili jambo . Kwanza taifa lina sumbuliwa na mambo makuuu mawili ambayo ndio yanasikika katika internation media now ambayo ni madawa ya kulevyia na wahamiaji haramu ambao wako mchini katika kimbindi hiki
nimeona kampein...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.