Tukubaliane kwamba watanzania tunathamini vigeni kuliko vya kwetu. Kama kanunua mashabiki? Basi ana pesa huyu jamaa. Kuponda watu tutaponda lakini tujifunze pia kuthamini vya kwetu hata vikiwa na kasoro zake.
Leo muwekezaji wanamjali kuliko mzawa, laana hii inatutafuna kuanzia tabaka la chini...
Kabla ya kuanza kazi lazima umeme uzimwe substation na wanaofanya hiyo kazi ya kurekebisha hiyo line ndyo wanaowasiliana na watu wa substation ili kuzima umeme.
Pole jibaba.mimi sijui nikoje? Sipendi kumuuliza kichuna wangu kama ananipenda,asiponionyesha, nafanya maamuzi ya kumpotezea kwa amani tu.life goes on.
Huyu jamaa nampenda sana, ni askofu wa Calvary Assemblies of God Tanzania na yuko kule Sombetini Arusha katika kanisa lake liitwalo Jesus Power Mirracle Centre, CAG.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.