Search results

  1. M

    Naomba msaada kwa anayefahamu jambo hili

    Applicants currently employed in the Public Service should channel their application letters through their respective employers. Non-disclosure of such status will lead to automatic disqualification. kuna nafasi za kazi zimetangazwa, hiko hapo juu ni moja ya kigezo ambacho kinanihusu.Hapo...
  2. M

    Spicing your sexual life

    Hii ni mahaalum kwa kwa wapenzi na wanandoa, ni time yako tena ya kuenjoy katika msimu huu wa wapendanao.huu ni mzigo wa valentine day 2016 tunaingia hotelin jumamosi mapena sana, breakfast, baada ya hapo bonding time ya kutosha,na wale wa kupenda swimming msiache kuja na vifaa Jumapili ni...
  3. M

    Niko njia panda

    Duh umenikumbusha miezi kama nane iliyopita, mwenzio niliblokiwa kuanzia instagram, facebook,na kote unakokujua ila nilipiga moyo konde nikamove on na yeye anaenjoy maisha na mtu wake, huku akiniacha njia panda bila ya kujua la kufanya Naomba Mungu anivushe salama mwaka huu,ila nikushauri...
  4. M

    Naongea nae sana, namuelekeza sana lakini habadiriki, nawaza kuachana nae

    Pole kaka, mimi naomba nikushauri kitu kimoja, usije kuwaza kumwacha mkeo kwa sababu hautakuwa umetatua tatizo bali umeongeza tatizo, cha msingi hapo kaa naye chini ongea naye vizuri mwambie unavyojisikia juu yake, nini unakipenda na nini hukipendi juu yake kisha mpe room/ nafasi na yeye...
  5. M

    Inawezekana kupenda tena baada ya kuumizwa?

    Kaka pole sana kwa yaliyokukuta, piga moyo konde then move one mungu wetu ni mwema sana hapo amekuepusha na matatizo makubwa sana, kitu ambacho kinakusumbua ni muda mliokaa na huyo mtu lakin hio haijastify kuwa umuoe Ni bora umeona ubaya wake ss hivi kuliko mngekuwa mmeshafunga ndoa, tulia...
  6. M

    Atakayefanikisha kupata kazi, nitampatia mshahara wote wa mwezi kabla ya kuanza kazi.

    Leta kesho barua yako department uje ufundishe MM 155 by ITIKA head of CME
  7. M

    Mchumba wangu kaanza katabia cha ajabu

    Hivi tukisema muache utakubali? anyway hayo ndio maisha ya mapenzi, ni bora amekuonesha mapema hizo dalili za jeuri na kiburi sasa maamuzi unayo mwenyewe kama utaweza kuvumilia hizo tabia kwa maisha yako yote endelea naye ila kama unaona kabisa huwezi ni bora ubadili mawazo Failure= few...
  8. M

    Is this Karma?

    pole sana kaka, sio muda wa kujilaumu huu tena deal na tatizo.Uaminifu ni kama mshahara fanya kazi ili uupate, wewe umeshavunja uaminifu kwa mkeo kwa tamaa mimi ninaziita za kijinga now you have to swallow ur pride Kuna kitu kimoja watu wanapaswa kujua, ukioa au kuolewa sio mwisho wa wanawake...
  9. M

    Kwa wale walio kwenye na ndoa/uchumba usipoteze nafasi hiii hadimu

    Katika ndoa nyingi kumekuwa na changamoto mbalimbali ambazo baadhi hutatuliwa na wanandoa wenyewe na nyingine huitaji ushauri wa kitaalamu, Mtaalamu wa saikolojia ya mapenzi aliye na uzoefu wa muda mrefu katika masuala ya mahusiano Dr. chris mauki ameandaa event mahalumu kwa ajili ya wanandoa...
  10. M

    Mke wangu kaniletea mtoto kazini, ni baada ya kuachana juzi

    Mambo yote haya mwisho october 25...ni tatizo la mfumo wetu wa elimu
  11. M

    Je, ni kweli wanawake wasomi hawatawaliki kwenye ndoa?

    Kwa upande wangu naona tatizo lipo kweli kwa wanawake waliosoma,japo sio wote wapo hivyo.Shida inakuja pale kunapoibuka jambo dogo tu katika ndoa basi mwanamke ambaye n msomi atatumia elimu yake kujenga hoja na kutafuta logic na justification wakat kwenye mapenzi n kuelewana tu Sasa ndio...
  12. M

    Nifanye nini ili nisiendelee kumuaza

    Pole kaka kwa ushauri wangu jaribu kuwa mbali na vitu vyote ambavyo vitafanya uzidi kumkumbuka Na usidhani itakuwa rahisi sana kumsahau but u have to be a real gentleman Kuwa bize na mambo yako, tafuta marafiki wapya wa jinsia zote za kike na kiume Usipende sana kuintertain mawasiliano na...
  13. M

    Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

    Point ya mwish inanihisu mm kabisa,nilikuwa na msichana hakuwahi kuniweka profile picha hata siku moja Kumbe ndio maana.ila namshukuru mungu tulishaachana miezi mmnne iliyopita na ishara zote za hapo juu za michepuko ndio sababu ya kuachana kwetu
  14. M

    UKAWA waitisha kikao cha dharura

    Hahahh mbona mnapost wenyewe alafu mnakomenti tena ..hii sijawah ona njaa zitawaua uvccm
  15. M

    msaada

    Jaman wanajamii forum naomba kuuliza bei ya bajaji mpya itakuwa sh ngapi. Msaada wenu ni muhimu sana.Asanten
  16. M

    Kupeana nafasi kwenye mahusiano, toa uzoefu wako

    so sad madada ila inavyoonekana wewe na huyo kijana wako hamkuwa mnapendana kiukweli, kwa uzoefu wangu katika mapenzi ikitokea mmoja anampenda sana mpenzi wake alafu mwenzie akachulia for granted lazima kutatokea migongano.Kuanzisha mahusiano ndani ya week mbili its not fear at all, coz kijana...
  17. M

    English learning thread

    in my life i have came to realize the importance of English language as medium of communication that every one needs to learn to speak and write it correctly.why...the reason is either you like or not english is international language of which is used in business, technology,politics,etc. and as...
  18. M

    Kwa wadada walio serious na maisha ya ndoa naitaji mchumba

    tunaweza wasiliana then uwezi jua
  19. M

    Kwa wadada walio serious na maisha ya ndoa naitaji mchumba

    Sifa za huyo mwanamke awe anapatikana Dar es salaam, awe mkristo na mcha Mungu, miaka kuanzia 23-26.awe ni mtu wa kujishughulisaha either amehajiriwa au amejiajiri. Imani yangu ni kwamba yupo ambaye atajitokeza na mambo yatakuwa mazuri
  20. M

    Nashindwa kuwasha 3G kwenye simu ya Gowin m7

    Habari zenu wakuu wa jukwaa hili,ninatumia simu aina ya Gowin m7,sasa tatizo nililokutana nalo katika simu hii no kwamba nashindwa kuwasha 3G katika simu yangu hii. Naamini JF ni sehemu sahihi,kwa yeyote mwenye uelewa was jambo hili naomba anisaidie.Natakuliza shukran zangu kwenu wakuu na...
Back
Top Bottom