Search results

  1. young_mesult

    Playstation2 chipped for sale

    Kwa wapenzi wa playstation games,mashine ps2 inauzwa bado ipo katika hali nzuri.inacheza games za kwenye flash na kwenye cds.inakila kitu chake pamoja. -Unapata mashine yenyewe. -pads mbili original -flash yake 8GB ina games tatu (FIFA2015, GTA SAN ANDREAS na NEED FOR SPEED) -memory card yake...
  2. young_mesult

    Playstation 3 inahitajika

    young_mesult 14:07 Today oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
  3. young_mesult

    Nahitaji playstation3

    oi wadau nahitaji playstation 3 iwe inacheza games za memo,bajeti 400k tsh. pia kama mtu ana ps2 nazo zinacheza games za kwenye flash nahitaji,bajeti 100k tsh.
  4. young_mesult

    Hp compaq for sale

    HP COMPAQ CQ62 AMD HDD 300GB RAM 2GB PROCESSOR 2.2GHz Kwa 370,000 tu. Kama upo serious ni PM
  5. young_mesult

    Unafanyaje Ukikosea kujaza namba ya mtihani TCU?

    Habari za mchana wana JF. Kuna mdogo wa rafiki yangu amekosea namba ya kujaziaa form zile za TCU, amejaza ya mwenzake wa pembeni yake sasa hapo itakuaje maana info zingine kama jina mahali yote ya kwake ila namba ya mtu mwingine naomba ushauri hapo ni muhimu sana.
  6. young_mesult

    Kati ya land manangement na geomatics kozi ipi yenye nafasi nzuri kwenye ajira ?

    Habari zenu wapendwa... Ni hivi kati ya land manangement na geomatics ipi ni kozi nzuri zaidi..zote zinatolewa ardhi zote miaka 4 zote ni priority katika mikopo...naomba kujuaa ipi ni nzuri zaidi katika soko la ajira bongo kuanziaa kujiajiri mpaka kuajiriwa... msaada wenu kwa hili please!
  7. young_mesult

    Udom vs dit

    Habari wana JF..katika vyuo vilivyotajwa hapo kipi ni kizuli kwenda kusomea kozi za engineering kama civil etc..kuanzia mazingira mpaka ubora wa elimu. msaada wakuu!
  8. young_mesult

    GEOMATICS vs CIVIL Kozi ipi inamaslahi

    Eti wenzangu wana JF ushauri wenu ni wa muhimu..ipi ni nzuri zaidi ya mwenzake kati ya geomatics na civil kuanzia upande wa upatikanaji wa ajira bongo hadi inavyofundishwa vyuoni..kwa anayejua msaada.
  9. young_mesult

    Vigezo vya kuingia Chuo

    Habari zenu mliomaliza form6 mwaka huu..ni hivi nakumbuka ilipofika wiki ya mwisho ya kufanya mtihani necta walituma walaka mashuleni kuhusu huu mchanganuo yaan i:3-7 ii:8-9 iii-10-13 hivyo pasi swali likawa je sifa za mtu kuhingia chuo ni vipi..kwenye huo walaka chini wakasema atleast mtu uwe...
  10. young_mesult

    Kwa Hapo Chuo Vipi...

    PCM nina CBC Je Niende Chuo Gani Na Kozi Gani Nzuri..Msaada Wenu Wana JF.
  11. young_mesult

    Ushauri wako ni muhimu kwa hili...

    Habari Zenu Wana JF Matokeo Ya BRN Ndo Yashatoka Sasa Nawapongeza Wote Waliotopoaa... Ni Hivi Kuna Dogo Langu Hapa Alikua Anasoma PCM amepata III-11 Na Kwenye Combination Kapata CBC..Sasa Wadau Dogo Anaitaji Ushauri Wenu Akasome Kozi Gani Chuo Hilo Ndo La Muhimu Hapa...
  12. young_mesult

    Embu tuache masihara kwa hili kidogo

    hivi kwa kawaida kabisa bila kutumia madawa wala kirevi chochote mwanaume utakiwa kutumia dakika ngapi kufika kileleni....kwa bao la kwanza na mengineyo.....naombeni msaada wenu wana Jf
  13. young_mesult

    Nokia asha sokoni tena

    Oi kuna simu mpya hapa nokia asha 200 kwa shilingi 75000 tu za kitanzania wasiliana nami 0718891984
  14. young_mesult

    Misitu mingine bwana kututega tu

    hahhah hii si mitego jaman,upo porini unakutana nayo
  15. young_mesult

    Msaada kuhusu iphone

    ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
  16. young_mesult

    Natafuta marafiki wa kike

    Mimi ni kijana wa miaka 20 natafuta marafikiwa kuchat nao kujuana hali, kutembeleana nao yaan ku have fun kama ma best friend...ukiwa tayari naomba tuwasiliane,plz uni PM.
  17. young_mesult

    Nashindwa hata kuelewa jamani

    Kwanza nawapa heli ya mwaka mpya wana JF...Wenzangu me navyojua kwa kawaida mwanaume akifika kileleni umwaga manii,sasa tatizo langu ni kwa jinsia ya kike..hivi wakifa kileleni huwa inakuaje,pili kwa kawaida utumia muda gani kufika huko!maana hapa mtaani tunadanganyana sana.
  18. young_mesult

    Jamani hili ni tatizo nawai kumwaga

    Ndugu zangu wapendwa.. Mie mwenzenu nikianza kumuandaa mpenzi wangu naishiwa nguvu haraka then inakua taabu kuanza mapenzi maana inabidi nisubili mpk isimame tena..NAOMBA MSAADA WENU WENZANGU am serious
  19. young_mesult

    natafuta mpenzi

    natafuta msichana aliyechuo kikukuu kati ya umri wa miaka 20-26 awe anayajua mambo kidogo
Back
Top Bottom