Embu tuache masihara kwa hili kidogo

Embu tuache masihara kwa hili kidogo

young_mesult

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
133
Reaction score
35
hivi kwa kawaida kabisa bila kutumia madawa wala kirevi chochote mwanaume utakiwa kutumia dakika ngapi kufika kileleni....kwa bao la kwanza na mengineyo.....naombeni msaada wenu wana Jf
 
hivi kwa kawaida kabisa bila kutumia madawa wala kirevi chochote mwanaume utakiwa kutumia dakika ngapi kufika kileleni....kwa bao la kwanza na mengineyo.....naombeni msaada wenu wana Jf

Kiufundi zaidi la kwanza dk tano, lapili na kuendelea dk 10 hadi 25 hivi inategemea na ufundi wako!

Mi naweza kugonga dk 20 bila bao afu tukapumzika kabla ya nyingine kumi hadi kileleni!
 
Back
Top Bottom