young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
iPhone Model gani? upo wapi? display haiwaki kabisa? au Touch haifanyi kazi? au tatizo ni crack pekee? kama shida ni crack nenda maduka ya SAPNA kioo kati ya 20 - 50,000/= inategemea na model yako. kama ni Touch Digitizer tembelea maduka ya spare za simu bei yake sifaham,,ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
Wasiliana na mwenye namba 0713756256 ni fundi aliyerekebisha yangu nilipopata tatizo kama hilo kwa kweli ilirudi kama mpya