Search results

  1. safariwafungo

    Salaam za sikukuu ya nane nane 2019 na umuhimu wa biashara "viwanda & huduma" katika kuchagiza maendeleo

    Na Ndugu Safari Fungo Kwanza kabisa napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, mwingi wa utukufu na mwenye kurehemu. Kisha napenda kutumia fursa hii kuwatakia heri ya siku ya Nane Nane 2019 watanzania wenzangu wote na hasa washika dau katika sekta hii muhimu ya...
  2. safariwafungo

    Siku njema huonekana asubuhi, twende na magufuli #sasakazitu

    Kutoka katika sakafu ya Moyo wangu navutiwa sana na utendaji wa Raisi wangu kipenzi Dr. #Magufuli. Mungu akufanyie wepesi uweze kutupaisha kama taifa katika uchumi wa Kati na in sha Allah uchumi wa juu na kuleta manufaa kwa jamii nzima. Kwa mtazamo wangu kama taifa tuna tatizo kubwa sana...
  3. safariwafungo

    Standards day essay competition

    TANZANIA BUREAU OF STANDARDS PRESS RELEASE STANDARDS DAY ESSAY COMPETITION Tanzania Bureau of Standards (TBS) has great pleasure today to launch the STANDARDS DAY ESSAY COMPETITION for 2012 with the topic "Less waste, better results – Standards increase efficiency". This competition is...
  4. safariwafungo

    EAC Regional Integration and the Fate of Tanzania

    Hello ladies and gentlemen, i hope weekend was going quite well, i just want to know what will be the outcome of Tanzania in the EAC regional integration. Will we be the market of the region or the farm of the region or a workshop of the region. Take an example when you go to Dar es Salaam you...
  5. safariwafungo

    Mgomo wa madaktari in a Human face!!

    Pamoja na changamoto nyingi zinazolikabili taifa letu nadhani namna tunavyoshungurikia stakihiki za madaktari si njema sana kwa maslai na ustawi wa Taifa na si dhani kwamba migomo inayoendelea kwa upande wa madaktari kwamba ndio suluhicho na si dhani kama anayedhurika ni serikali la hasha...
  6. safariwafungo

    Ref: Nyumba inahitaji maeneno ya Uwanja wa Taifa na Viunga vyake!

    Heshima iwe juu yenu wakubwa. Nyumba ya kupanga inahitajika maeneo ya Uwanja wa Taifa ama maeneo yazungukayo eneo hili. Nyumba iwe ya vyumba viwili (bed rooms), sitting room, jiko, na choo. Please ni PM! nawasilisha
  7. safariwafungo

    Comparative advantage!

    Ni dhahiri mvua zina nyesha na kwakuwa mwenyezi mungu katujalia aridhi yenye rutuba ktk ukanda huu wa EAC bila shaka yatupasa kutumia fursa hii kwa umakini sana, Je ni kwa namna gani tunaitumia hii karama kutoka kwa mwenyezi mungu au tunasubiri wakulima wakilima kidogo then tunawakataza wasiuze...
  8. safariwafungo

    Can she make it?

    We have plenty of Confidence in this country, but we are a little short of good men to place our Confidence in". Will Makinda make it as a next Tanzania Speaker of the parliament? i hope jazba hazitokuwepo kwenye michango yetu, Karibu!
  9. safariwafungo

    Yanga wageuzwa kitoweo

    Ni vute ni kuvute mara wachezaji wamenywanganywa simu mara kambi ulinzi mkali yanga kunako Kirumba majira ya saa kumi tarehe ya 2010-10-16, je yanga watachomokoa mbele ya mnyama aliyetuka kwenye swaumu au ndo atageuzwa kitoweo?
  10. safariwafungo

    Data Management

    heshima mbele wakuu, wandugu mimi ni mkaazi wa jiji la dar es salaam, nina hitaji kupata short course ya data management very soon kwa sababu nina research ambayo natarajia kuifanya within two month in time hivyo naomba msaada wa kujuzwa ni wapi ambapo naweza kupata kozi hiyo katika jiji la dar...
Back
Top Bottom