Ref: Nyumba inahitaji maeneno ya Uwanja wa Taifa na Viunga vyake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ref: Nyumba inahitaji maeneno ya Uwanja wa Taifa na Viunga vyake!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by safariwafungo, Oct 17, 2011.

 1. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Heshima iwe juu yenu wakubwa.
  Nyumba ya kupanga inahitajika maeneo ya Uwanja wa Taifa ama maeneo yazungukayo eneo hili. Nyumba iwe ya vyumba viwili (bed rooms), sitting room, jiko, na choo.

  Please ni PM!

  nawasilisha
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Unapenda mpira kiasi hicho mpaka makazi unataka yawe karibu na Uwanja wa Taifa? Omba chumba kwenye stadium kabisa.
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Duh!!!
  Serikali inaweza kubuni chanzo kingine cha mapato kwa kujenga nyumba ndogo pembeni ya huu uwanja kwa wapenzi wa mpira kama hawa!!
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi nina nyumba nimemaliza kuezeka majuzi ila bado sijaweka milango na madirisha. Niko maeneo ya changombe karibu na maduka mawili au karibu na ukumbi wa sigara TCC
  Nyumba ina vyumba 4 ila viwili vimeisha booliwa tayri
   
 5. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mzee hiyo inahusika naomba uni PM namna ya kukupata ili nikutafute Juma pili ya weekend ijayo ili tufanye biashara!
   
 6. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Tuwasiliane kwanza kwa simu no. 0713 689665
   
 7. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ok notakupigia simu jumapili mkuu
   
Loading...