Can she make it?

safariwafungo

Senior Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
136
Likes
16
Points
35

safariwafungo

Senior Member
Joined Apr 26, 2008
136 16 35
We have plenty of Confidence in this country, but we are a little short of good men to place our Confidence in". Will Makinda make it as a next Tanzania Speaker of the parliament?

i hope jazba hazitokuwepo kwenye michango yetu,
Karibu!
 
chigwiye

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
353
Likes
1
Points
0

chigwiye

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
353 1 0
We have plenty of Confidence in this country, but we are a little short of good men to place our Confidence in". Will Makinda make it as a next Tanzania Speaker of the parliament?

i hope jazba hazitokuwepo kwenye michango yetu,
Karibu!
Wanawake wanaweza,ni kweli,lakini sio anna makinda,tunamfahamu vizuri.sisiem tumeingia choo cha kike.alikua naibu tu,lakini tuliona alivyokua mkali,mkatili,mkorofi,mwoga wa hoja,anayetumia mabavu na si kanuni.Tulihitaji spika mwenye uwezo wa kupambanua mambo,suala si kuzima hoja bungeni,ni kupambanua ili kupata michango,maoni na ubaya wa hoja.kitakachotokea ni kuzimwa hoja na wabunge kujikuta hawana cha kujadili bungeni.Anna makinda hapaswi kufurahi kwa kuteuliwa kwake,ajue kwamba anakwenda kuwa kichekesho ktk kile kiti cha enzi.
 
kasita

New Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
2
Likes
0
Points
0

kasita

New Member
Joined Oct 30, 2010
2 0 0
Wanawake wanaweza,ni kweli,lakini sio anna makinda,tunamfahamu vizuri.sisiem tumeingia choo cha kike.alikua naibu tu,lakini tuliona alivyokua mkali,mkatili,mkorofi,mwoga wa hoja,anayetumia mabavu na si kanuni.Tulihitaji spika mwenye uwezo wa kupambanua mambo,suala si kuzima hoja bungeni,ni kupambanua ili kupata michango,maoni na ubaya wa hoja.kitakachotokea ni kuzimwa hoja na wabunge kujikuta hawana cha kujadili bungeni.Anna makinda hapaswi kufurahi kwa kuteuliwa kwake,ajue kwamba anakwenda kuwa kichekesho ktk kile kiti cha enzi.
Juu ya huyu mama mkwe wetu haiitaji hata darubini kugundua uwezo wake katika hili.Spika ni mtu anayetakiwa awe na busara,hekima,ufahamu mkubwa wa sheria na katiba ya nchi zaidi ya yote awe na uwezo wa kutoa maamuzi kwa haraka na kwa uhakika bila ya upendeleo.So inabidi tumpime katika haya huyu mama yetu.
 
nginda

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
745
Likes
0
Points
0

nginda

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
745 0 0
wanasema, kiongozi awe mtu mwenye familia ili apate busara na uzoefu nyumbani. huyu nungayembe atapata wapi busara????????
 
Mkandara

Verified User
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,450
Likes
167
Points
160

Mkandara

Verified User
Joined Mar 3, 2006
15,450 167 160
Kwa nini asiweze? nakumbuka aliwahi kuwa naibu spika wakati fulani kwa hiyo hii sio mara yake ya kwanza...Swali la kujiuliza - Atasimamia maslahi ya kina nani?...
 
chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
529
Likes
8
Points
35

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
529 8 35
Kwa nini asiweze? nakumbuka aliwahi kuwa naibu spika wakati fulani kwa hiyo hii sio mara yake ya kwanza...Swali la kujiuliza - Atasimamia maslahi ya kina nani?...

Maslahi ya Mafisadi

kwa hili sisem hawana aibu eti tunataka ku empower wanawake

Thubutuuuu uphewwwwwwwwww!!!! wamenikera sana
 
Forum statistics

Threads 1,203,106
Members 456,600
Posts 28,099,928