Search results

  1. M

    Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    Kheri ya mwaka mpya wanajamvi. Nina ndugu yupo U.S nataka niende huko ila napenda kama nikienda basi niende nikasome katika fani ninayoipenda yaani mechanics sasa sijui kwa elimu yangu itaewezekana au nibaki bongo tu nikasome VETA.
  2. M

    Nielewesheni jinsi ya kujiunga advance level U.S.A

    Hi every body! naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
  3. M

    Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    Hi every body! Naomba ufafanuzi hapa, ukitaka kwenda kusoma Kenya kwa level ya advance secondary ni sharti uwe na level ipi ya elimu ya hapa Tanzania? na ukisoma advance ya Kenya unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tanzania na kupata mkopo? Thank you.
  4. M

    Kwa muda huu inawezekana kweli

    muhali gani wanajukwaa wezangu!nimemaliza kidato cha nne mwaka 2008 takribani miaka tisa imepita.Kwasasa nimeajiriwa nahitaji kujiendeleza ila lazima nipitie A level .Je ninaweza nikamudu masomo ya a level kwa komb ya pcm maana nimemaliza shule miaka mingi hata yale mafomula ya hesabu nimesahau.
  5. M

    Mwalimu wa Sayansi Secondary vs Engineer

    Ebu tusaidiane hv kati ya mwalimu wa sayansi sekondari na engeeneer nani ana fursa nyingi za kumake mkwanja nje ya mshahara.
  6. M

    Kuna ulazima wa kureseat kwa matokeo haya?

    Natumai hamjambo, wale walioamka na matatizo mbalimbali poleni sana na Mungu muweza atawapa urahisi kuondokana na matatizo hayo. Baada ya salamu niingiie kwenye swali langu ambalo nikutaka kujua ikiwa mwanafunzi ana C mbili za masomo ya sayansi (Biology na Physics), C moja ya somo la sanaa(...
  7. M

    je, wewe ni mwl.wa shule za msingi kutoka Dodoma,iringa,singida.tabora au morogoro?

    mimi ni mwl.shule za msingi nipo mkoani mara wilaya
  8. M

    mwalimu anaye taka kufundisha mkoani mara wilaya ya serengeti.

    habari,mimi ni mwl.wa shule za msingi napenda kuhamia Dodoma wilaya yoyote ile kama umepangiwa Dom na ungependa kuja mara call:0756079492,0783194892,0657853544.asante.
  9. M

    integrated circuits(ics)

    habarini,ics ni componet ambayo ni rare sana kukosekana katika vifaa vya electronics.Je, hii component ina kazi gani katika vifaa vya kielectroki?
  10. M

    khaa!hata mbele za watoto natetemeka!!

    Ndiyo hivyo
  11. M

    mvuto kimahaba,goalkeeper vs mwalimu.

    habarini wana mmu,kwa utafiti wangu nimeng'mua kuwa,wake za walimu wa shule za msingi walio wengi ni wazuri wa tabia,sura na umbo lakini ni magolikipa!sijui kwa nini?Hii inapelekea walimu wengi kuwa maskini wa kudumu.Wake wengine wa walimu wa shule za msingi walio wengi wanazo ajira na wana...
  12. M

    ukiacha ualimu utaishi vipi?

    kuna rafiki yangu ana mwaka1kwenye ualimu ktk kijji cha mkoa wa mbali na nyumbani,anapita mikoa6 had kufika huko,anang'ang'ania kuacha kazi, sijui hata nimshauri vp ndugu zangu wanajf!sababu za kuacha kazi hyo ni kama zftzo: , ana ujuz wa ufund umeme anaweza wiring ya majengo na...
  13. M

    Kusikiliza redio kwa njia ya internet kwenye simu

    hello wana jf,hvi inawezekana kusikiliza radio kwa njia ya internet kwa sim yoyote yenye uwezo wa kuaccess net.
  14. M

    4rm 6 vs foundation course .

    hello wana jf,naomba kujuzwa kt ya form6 na foundation course hip ina mata ktk kuapply for universities.nimewasilisha.
Back
Top Bottom