4rm 6 vs foundation course .

My Mud

Senior Member
Oct 5, 2012
108
17
hello wana jf,naomba kujuzwa kt ya form6 na foundation course hip ina mata ktk kuapply for universities.nimewasilisha.
 
form six naona ina mata zaid, foundation nadhan step yake ya mbele ni kuchukua cheti hupat ata diploma, kwa mtazamo wangu
 
form six naona ina mata
zaid, foundation nadhan step yake ya mbele ni kuchukua cheti hupat ata
diploma, kwa mtazamo wangu

kwa nnavo jua mimi foundatn ya OUT,inaweza kukuwezesha kuaply digrii ktk chuo kikuu chochote Duniani bila longolongo ikiwa utaperform furesh mitihani yao
 
nakubal hilo, bt pia kuna foundation ambayo huanza wanafunz waliokosa sifa za kuanza certificate kwa ngaz ya form 4 na wanataka kuendelea na masomo, huchukua foundation then certificate then diploma na degree kwa anaetaka. (foundation huwa miez 6, certificate mwaka, diploma miaka 2)
 
form six naona ina mata
zaid, foundation nadhan step yake ya mbele ni kuchukua cheti hupat ata
diploma, kwa mtazamo wangu

nashukuru mkuu,lakin hata 4m6 stp ya mbele cunapata chet?msaada ninao hitaj unabez kwenye kip kinapewa kipaumbele kwny kuaply for dip or digree chuokikuu.ASANTE.
 
Form 6 ni nzuri kuliko Foundation kwenda Univasty,ila kiajira zaidi mwenye Foundation huwa anapata kzi ki rahisi kuliko Form6.
 
Back
Top Bottom