mvuto kimahaba,goalkeeper vs mwalimu.

mvuto kimahaba,goalkeeper vs mwalimu.

My Mud

Senior Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
108
Reaction score
17
habarini wana mmu,kwa utafiti wangu nimeng'mua kuwa,wake za walimu wa shule za msingi walio wengi ni wazuri wa tabia,sura na umbo lakini ni magolikipa!sijui kwa nini?Hii inapelekea walimu wengi kuwa maskini wa kudumu.Wake wengine wa walimu wa shule za msingi walio wengi wanazo ajira na wana tabia nzuri lakini hawana mvuto wa umbo na sura(i.e not sex ladies)!sijui kwa nini?hii inapelekea walimu wengi kutoka nje ya ndoa sometimes ku do hata na wanafunzi wao,due to missing of some radha kutoka kwa wenzi wao."Mwana mke mzuri si tabia nzuri tu kama wengi wanavyo kariri, bali mwanamke mzuri ni tabia nzuri,mvuto wa kimahaba na kazi yake".OVER.
 
Mh! mm sijui ngoja kina kaka Mtambuzi waje watakujibu
 
umechoka kufikiri! utafiti wako umeufanyawapi? na umehusisha respondents wangapi? mbona unapenda ku generalize mambo? UKIONA case 3 zinazofanana basi una jump into conclusion. Hujaona watu wameoa warembo na wanatoka nje ya ndoa. Halafu beauty is a relative term. Unaposema wameoa wanawake wazuri lakini ma goal keeper au fulani wameoa wabaya lakini watumishi. Jiulize nini kinatangulia unapotaka kuoa mwanamke, kazi yake au mapenzi yako kwake yaani hisia zako kwake. WAPO waliooa watumishi lakini wanajuta na wapo waliooa ma goal keeper na wanafurahia maisha. Maisha ni kuishi. Mapenzi na hisia za kweli juu ya mtu mwingine ni kitu cha msingi baina ya wapendanao( mume na mke)
vilevile tambua hakuna mwanamke asiye na mchango katika familia. Kazi ya golikipa ni kuhakikisha mpira hautingi wavuni hata mama wa nyumbani ana mchango mkubwa kuliko yule aliyeajiriwa. Anaangalia na kulea watoto muda wote, anapika, kufua, kufanya usafi, anaosha vyombo. analima. Hivi vyote ukivitafsiri kwa thamani ya pesa utaona kwamba kama ni mshahara basi mwanamke huyu angelipwa malaki mengi kama si milioni. Tatizo tumezoea kuona pesa taslimu lakini hatujui kuthaminisha shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanawake. Hakuna mwanamke golikipa dunia hii.
 
Matatizo ya walimu hayaishi tu,mpaka ndani?
::
Utafiti zaidi unahitajika katika hili.
=
 
Back
Top Bottom