Search results

  1. C

    Wananchi wa Msongola, Kivule na kitunda tumetelekezwa

    Kitunda, Msongola na Kivule ni miongoni mwa kata zinazounda wilaya ya Ilala. Licha ya kuwa kata hizo zipo iliyokuwa manisapaa ya Ilala ambayo imepandishwa hadhi na kuwa halmashauri ya jiji la Dar es salaam bado serikali na mamlaka husika imeaumua kuzitenga kata hizo. Kata hizo hazina barabara ya...
  2. C

    Naomba sera mpya ya Elimu, 2014

    Sera nimeiweka@kimbori
  3. C

    Naomba sera mpya ya Elimu, 2014

    HABARI WANA JUKWAA, BILA SHAKA NYOTE MNA AFYA NJEMA. SERA YA ELIMU ILIYOZINDULIWA JANA NA MHE: RAIS HII HAPA SERA2.pdf
  4. C

    Msaada wa haraka unahitajika

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania, Mwanza mwaka wa tatu 'BAED' na nimepanga kufanya utafiti (Research) juu ya mtazamo wa walimu juu ya madaraja mapya ya ufaulu yaliyotolewa mwaka jana. Naombeni msaada kwa yeyote anaejua...
  5. C

    Nauza Samsung Slimfit TV 30''

    Kyela boy. Tangazo linamis baadh ya details kama; 1. Aina ya tv, 2. Size na 3. Age(new/mpy)
  6. C

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Jaman naomba maon yenu, ni bora kuwa na wasomi wengi wasio-competent au kuwa na wachache wenye competence?
  7. C

    Ushauri kuhusu kilimo cha miti

    Habari wana jamvi. Naomben ushauri jinsi ya kuanzisha na kutunza shamba la miti ya matunda. Nawasilisha na ntafurahi kuskia kutoka kwa yeyote.
  8. C

    ni ulimbukeni (UBOYA) kuwa na simu ya gharama.

    Kweli ubinadam kazi na kamwe yeyote asiyependa kukosolewa hapasw kumkosoa wala kumshaur mwngne. Daily vijana 2nalalamika maisha magumu ila wanaotoa mawazo ya kujenga tunawapga vita. Tunaishia kusema CCM. Mtoa topic nampa 100% nawe nakupa negative
  9. C

    Picha: Madiwani wa CHADEMA na magwanda yao warejea CCM wakiwa pamoja na Nape Nnauye na umati

    Wakat mwingne CHADEMA ndo chanzo cha wanachama wao kuhama. Ikumbukwe kuwa hao wanachama wanaohama wanahama na wafuasi wengi nyuma yao ambao hawakuwa wanachama ila ni wapga kura wa CHADEMA
  10. C

    Gharama za hostel_arusha

    Unahitaj chumba au hostel? Hostel nying wanalipia kwa mwaka au semester, pia nyngne unakuta chumba kitupu
  11. C

    Mdogo wangu anaweza kujiunga na chuo kikuu tz?

    Hawezi kujiunga direct ktk level ya degree ila kuna options mbil, 1.Anaweza kuanza na diploma then akaunga degree au 2.Akapga foundation course ambayo huwa inatolewa na chuo husika then anajiunga na degree
  12. C

    Rushwa Ya Ngono Kutawala Vyuoni!!

    Kwa kwel mkuu rushwa ya ngono ni tatizo kubwa katka ajira na vyuo vya elimu ya juu. Knowing the root causes of the problem is the first step in problem solving. Kwa mtazamo wangu kuna sababu kuu 3 za kukithri kwa rushwa ya ngono vyuon nazo ni 1. Wanafunzi wenyewe-kuna baadhi yao mavaz yao na...
  13. C

    Rushwa Ya Ngono Kutawala Vyuoni!!

    Kwa kwel mkuu rushwa ya ngono ni tatizo kubwa katka ajira na vyuo vya elimu ya juu. Knowing the root causes problem is the first step in problem solving. Kwa mtazamo wangu kuna 7bu kuu 3 za kukithri kwa rushwa ya ngono nazo ni 1. Wanafunzi wenyewe-kuna baadhi yao mavaz yao na jins wanavyo...
  14. C

    Usanii wa Clouds: Mshindi wa Brazuka akataa ushindi wa kwenda brazil

    Hiyo ni nouma, inaonekana huyo jamaa hakushrik na hakupangwa wamepga ili mrad
  15. C

    Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

    asante nielezee khs kalenda kwa mwananke mwenye mzunguko was Sikh 28 usiobadilika badilika
  16. C

    Jinsi ya kutumia kalenda kupanga uzazi

    Habari zenu wanajukwaa. Naomba kujuzwa jinsi ya kutumia kalenda kupanga uzazi. Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 usiobadilika badilika. NAWASILISHA MADA
  17. C

    Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

    nan kasema? Kila mwamba ngoma huvutia kwake japo mm ni mwalimu ctak kuvutia kwangu ukwel ni kuwa course zote ni muhim na zinategemeana ktk maisha
  18. C

    Je serikali YA KIKWETE haioni athari ya hizi ISLAMIC DVD huku Kusini kama bomu HATARI?

    je ww ni mwislam? Je ndivyo waislamu tunavyofundshwa kuwa kama hatukubalian na jambo fulan na tunataka ushahid bas tumshushie matus? STARABKA ACHA KUAIBSHA WAISLAM
  19. C

    penzi la shemeji

    kwanza nahis mkeo si mkorof ila analinda mali zake sababu ameshagundua kuwa kuna kitu kat yako na mdogo wake, pili we ndo usio na nidham ungekuwa nayo ungeiheshmu ndoa yako na kujua kuwa huyo ni shemejio, tatu wewe na huyo shemejio mlikutana kwa lengo lililojfcha yaan kuvunja amri ya sita, huku...
  20. C

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    umemaliza kila kitu, swala sio unasoma chuo/faculty gan bali ni umefaidika nn? Una nn kchwan na unaitumiaje elimu yako kwa manufaa ya jamii inayokuzunguka na taifa kwa ujumla
Back
Top Bottom