Search results

  1. M

    Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa wahusika kama watapata kufikishiwa. Meli ya Sea Star kutoka Unguja kupitia Pemba mpaka Tanga ina kunguni sijapata kuona. Nilikata tiketi ya VIP kuna makochi mazuri ila kunguni wanatupa shida sana abiria tunawasiwasi tunapeleka zawadi ya kunguni manyumbani...
  2. M

    Mwenye namba au mawasiliano na Ali Express

    Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha imeishafika tanzania tatizo haijanifikia wiki sasa kwa hiyo nataka niwasiliane nao.Nitashukuru sana nikipata...
  3. M

    Laptop yangu haidownload games

    Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try reinstalling the program to fix this problem).PC yangu ni HP window 7
  4. M

    Vodacom wananikata fedha zangu

    Heri ya mwaka mpya wanajamii. Nina tatizo na hawa jamaa wa vodacom wananikata sh.150 kila siku nikiweka salio katika simu yangu. Nimewauliza vodacom huduma kwa wateja wameniambia niweke huduma sp namba 778 lakini haiendi. Tafadhari mwenye kufahamu anisaidie
  5. M

    Msaada: Water pump haipandishi maji ila motor inazunguka

    Naomba msaada wenu wa mawazo. Ninayo water pump zile zinazoingizwa ndani ya kisima cha maji. Sasa tatizo lililopo motor yake inazunguka ila maji haipandishi inapandisha kidogo halafu inagoma ila motor inazunguka. Sasa inaweza kuwa ni pump yake au capasita imekufa kabla sijachukua fundi...
  6. M

    Matangozo yamezidi katika simu

    Amani kwenu wana jamii forums.Nina simu aina ya tecno,sasa kinacho nisumnisumbua imeanza kama wiki mbili sasa,kila nikiwa naitumia katika masuala ya internet.Inaweza tokea mara mambo ya cm security protect mara mambo ya tigo hhaipiti dakika mbili matangazo.Naomba nisaidiwe kuondokana na tatizo hilo.
  7. M

    Naomba mwenye kujua kuweka PUK katika simu.

    Amani kwenu wanajamii.Nimerudi nyumbani nikakuta simu ya mdogo wangu simu yake imeandika weka puk katika simu,sijui amegusa wapi.Naomba mwenye kujua anifahamishe tafadhali maana pia imempa tahadhari kuwa imebakia mara saba za kujaribu kuweka hizo PUK.Nitashukuru
  8. M

    Laptop yangu haina IDM

    Naomba nielekezwe jinsi ya kudownload IDM katika laptop yangu aina ya HP yenye window 7. Niliifuta bahati mbaya IDM sasa kila nikidownload inataka niweke serial number.Mwenye kujua naomba anielekeze tafadhali ili nami niweze kudownload video na game. Nitashukuru kwa msaada wenu
  9. M

    the user is private

    amani kwenu wanajamii.naomba kufahamishwa nimejaribu kuangalia baadhi ya account za watu,utakuta The User Is Privety.Sasa napenda kujua anatumia njia ipi kuifanya mtu usiweze kumfollow.Maana nimejaribu kuifuatilia ISTRAGRAM sijaambua kitu
  10. M

    Simu yangu alcatel one touch 918 haikubali internet

    Wanajamii habari za jioni.Nina simu aina Alcatel one touch 918 inakubali internet Airtel peke yake,kila nikijaribu airtel haikubali.Naomba mwenye kujua kama configuration ya Vodacom anielekeze tafadhali
  11. M

    Namna ya Kudownload movie zenye size kubwa kwenye simu

    Amani kwenu wa jamii. Naomba kuelekezwa nitumie program ipi inayoweza kudownload move katika simu za smartphone itakayoonyesha zaidi ya nusu saa. nitashukuru kama nitaelekezwa, Maana nyingi naona hazizidi dakika kumi tu.
  12. M

    Laptop yangu haitaki kudownload video

    Amani kwenu wanajamii.Laptop yangu mwanzo ilikuwa inaweza kudownload video vizuri ilikuwepo internet download manager. Lakini sasa nikitaka kudonload inataka niweke serial number.Nimejaribu kuiformart IDM, nakuidownload upya inataka serial number.Kama kuna njia nyingine nielekezwe badala ya IDM
  13. M

    Nitawezaje ku-ditacte location ya mtu ninaewasiliana nae kwenye simu?

    Amani kwenu wanajamii. Napenda kujua kama kuna utaaalamu au mwenye kufahamu Jinsi ya kugundua mtu unayewasiliana nae mahali alipo kabla hajakuambia. Nitashukuru sana
  14. M

    line yangu ya Airtel haitakubali mawasiliano ya Internet

    Habari wana Jamii Forum.Simu yangu ilipotea kama wiki mbiki zilizopita.Nikaiswap kurudisha line yangu iliyopotea ya Aitel.Sass nikiitumia katika masuala ya Internet katika simu inachukua muda mrefu kudownload,nikiitumia ktk Moderm ndio haitaki kabisa.Tofauti na mwanzo kabla haijapotea na ina...
  15. M

    Msaada jinsi ya kubadilisha password ya gmail

    Amani kwenu wanajamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kubadilisha password ya gmail anielekeze tafadhali nimeitumia muda mrefu ila sijui kuibadilisha maana napenda kubalisha kwa usalama wa madocumenti yangu natanguliza shukrani
  16. M

    Meseji Za Airtel Nimezichoka

    Amani kwenu Wana Jamii Forum.Nimejiunga na kifurushi cha Wiki airtel kwenda aitel.SASA cha ajabu na kunikasirisha kila dakika inakuja meseji kuwa (umeshatumia asilimia 70 ktk kifurushi chako).Naomba wenye kujua jinsi ya kufanya meseji zisije kabisa.Natumia simu Alkatel 918.Nitashukuru kwa msaada...
  17. M

    Kupata video za whatsap

    Amani kwenu wana jamii.mimi ni mdau mkubwa wa whatsap ila napenda kujua hizi video tunazopata katika whatsap zinapatikana katika site ipi na mimi iwe rahisi kuzipata kwa urahisi
  18. M

    Msaada nyayo zinawaka moto!!!

    Amani kwenu wana jamii.Mimi ni kijana wa kiume,nimetokea nyayo kupata joto sana hasa ninapotulia.Nifanyaje kuondoa tatiz
  19. M

    Msaada wa configaration ktk simu tafadhali.

    Amani kwenu.Nina simu nimenunua nokia 201.Naomba nielekezwe formuler ya kujiunga ktk mtandao wa Tigo na Voda tafadhali
  20. M

    Macho kuwa meupe.

    Amani kwenu wanajamii forums.Mimi nafanyakazi kwenye sehemu yenye vumbi na moshi.Kuna namna ya kufanya macho yawe meupe.
Back
Top Bottom