Laptop yangu haitaki kudownload video

Laptop yangu haitaki kudownload video

mgange hussein

Senior Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
159
Reaction score
43
Amani kwenu wanajamii.Laptop yangu mwanzo ilikuwa inaweza kudownload video vizuri ilikuwepo internet download manager. Lakini sasa nikitaka kudonload inataka niweke serial number.Nimejaribu kuiformart IDM, nakuidownload upya inataka serial number.Kama kuna njia nyingine
nielekezwe badala ya IDM
 
mkuu hata mimi ninatatizo hilo hilo na jibu utakalo jibiwa litakua la kwangu pia.
 
Poa sana mkuu.fungua start button then type maneno haya Regedit baada ya hapo daboclick hiyo setup ya regedit,ikifunguka nenda edit then click find
Kwenye kibox cha find pale andika Internet downloader,press enter baada yahapo delete kila maandishi yanayotokea hapo,click find na urudie kudelete hayo maandishi yanayotokea,click find mpk hayo maandishi yakiacha kutokea
Restart machine then fungua idm weka hizo serial hakikisha haupo kwenye mtandao baada ya hapo click ok ikiload sana cancel,then jaribu kudownload chocote
 
taratibu mkuu twende pole pole. fafanua kwa uwazi unao eleweka kiongozi tafadhali.
 
Here we go kaka
Click start button
kwenye box la search andika REGEDIT
User control ikitokea click Yes
Itatokea registry edit
Click EDIT MENU,CLICK FIND
kwenye find what andika INTERNET DOWNLOAD MANAGER
baada ya hapo click Find NExt
Subiri imalize kufind
Ikikamilika kuna maandishi ya tatokea ab(Default)
abThreadingModel
Select hiyo threading model then press delete kwenye keyboard
Click edit menu tena
Click findnex
Highlight maandishi yatakayo tokea
Press delete kwenye keyboard yako then press enter
Rudia process hizo mpk utapoona hakuna maandishi tena baada ya ku find next
Restart machine then weka key zako
Ikiwa inaload muda mrefu wakati wa kuprocess hizo key,cancel then download chochote kile uone kama inafanya kazi hiyo IDM
 
nime kupata kaka ila tatizo langu ni tofauti. mimi nahitaji laptop yangu iwezeku [dowlod] haina [dowlod] kaka naomba msaada wako kaka.

INGIA GOOGLE
Andika internet downloader free download
Fungua link moja wapo kati ya utakazo ziona
 
INGIA GOOGLE
Andika internet downloader free download
Fungua link moja wapo kati ya utakazo ziona

nimefungua kwenye google imeshakuja [internet downlod] sasa ni fuate proses hipi?
 
nimefungua kwenye google imeshakuja [internet downlod] sasa ni fuate proses hipi?

kama hazijakuwa cracked bado utapata trial tu - zitakusumbua na kuhitaji serial keys. ninayo ambayo ni cracked na ni nzuri lakini kila nikitaka kui upload napata message inayo hang indefinitely - inanipa "sending request to JF"
 
Back
Top Bottom