Vodacom wananikata fedha zangu

mgange hussein

Senior Member
Sep 10, 2012
159
43
Heri ya mwaka mpya wanajamii.
Nina tatizo na hawa jamaa wa vodacom wananikata sh.150 kila siku nikiweka salio katika simu yangu. Nimewauliza vodacom huduma kwa wateja wameniambia niweke huduma sp namba 778 lakini haiendi.

Tafadhari mwenye kufahamu anisaidie
 
Back
Top Bottom