mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Habari wana Jamii Forum.Simu yangu ilipotea kama wiki mbiki zilizopita.Nikaiswap kurudisha line yangu iliyopotea ya Aitel.Sass nikiitumia katika masuala ya Internet katika simu inachukua muda mrefu kudownload,nikiitumia ktk Moderm ndio haitaki kabisa.Tofauti na mwanzo kabla haijapotea na ina kifurushi cha kutosha.Naomba wenye kujua tatizo wanisaidie kulitatua.Amani kwenu