Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi.
Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za...
Wakuu,
Kuna taarifa inayosambaa kwenye Makundi sogozi na Mitandao ya kijamii ikieleza kuwa TAMISEMI imetoa waraka unaopendelea wasichana kwenye upangaji wa nafasi Shule za kidato cha 5 tofauti na...
Peace be upon ya' all,
Hili swala limezua mjadala wa mda mrefu sana baina ya madaktari wao kwa wao wakivutana kwa hoja kuntu kabisa.
Je ni kweli UKIMWI hausababishwi na HIV kwamba agenda nzima...
Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza...
Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu.
Juzi...
Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya...
Kwa muda mrefu sasa yamekuwepo madai yanayosema kuwa Mtoto mchanga ukimtazamisha kwenye kioo au Mwanga wa jua kabla ya siku 40 hupata Makengeza.
Naomba kufahamu ukweli kuhusu jambo hili.
Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu...
Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa...
Baadhi ya watu hushauri matumizi ya pombe kali ili kutibu mafua na kikohozi. Madai yao yamebeba nadharia nyingi zinazohitaji uthibitisho wa kisayansi ili kuondoa sintohamu kubwa iliyopo...
Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa...
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo.
Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022.
Video ya...
Kuna Taarifa zilizosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii, zinazodai Tarehe 31 Januari 2023 wakati Tundu Lissu akifanya Mahojiano ya channel ya YouTube ya Jambo TV, kwamba alimpongeza Rais Samia kwa...
MADAI
Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.