SI KWELI Threads

  • Article Article
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo. Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Article Article
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
  • Article Article
Nyendo
SI KWELI 
Kuna Taarifa zilizosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii, zinazodai Tarehe 31 Januari 2023 wakati Tundu Lissu akifanya Mahojiano ya channel ya YouTube ya Jambo TV, kwamba alimpongeza Rais Samia kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Bridger
SI KWELI 
MADAI Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Article Article
Wand
SI KWELI 
Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji. Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Article Article
Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
  • Article Article
Kulikuwa na uvumi kuwa kiungo wa Real Madrid, Eduardo Bamavinga ana umri wa miaka 19 na mwanaye ana miaka 8. Hali inayooonesha kuwa alimpata mtoto huyo akiwa na miaka 11. Picha1: Camavinga akiwa...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
  • Article Article
Naona mambo ni moto kweli kweli, inasemekana Ndugai aliwekwa kizuizini na barua yake ya kujiuzulu Uspika hakuiandika yeye ni kwa mujibu wa hii tweet. Sisi yetu mambo, maana malipo ni hapa hapa...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
  • Article Article
Bridger
SI KWELI 
Chips ni chakula maarufu sana kinachotumiwa na watu wengi, hasa vijana. Baadhi ya watu huamini kuwa chakula hiki husababisha ugonjwa wa macho hasa kutoa machozi, maumivu ya mishipa ya macho pamoja...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Article Article
Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
  • Article Article
Kuna taarifa inadai kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuiuzia Kampuni ya kusambaza Umeme nchini (TANESCO). Aidha, taarifa hii inadai kuwa huu ni uhaba wa umeme ulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Boqin
SI KWELI 
UVUMI Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa...
5 Reactions
0 Replies
989 Views
  • Article Article
Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu. Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya...
4 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Article Article
Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Article Article
Boqin
SI KWELI 
Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Article Article
Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
0 Reactions
1 Replies
851 Views
  • Article Article
Wand
SI KWELI 
Ajali imetokea muda huu katikati ya Kimara Stop over na Suka eneo la Garage. Ni kwamba bus linatokea Dodoma na lory la cement vimegongana uso kwa uso na magari yote yameungua moto na vichwa vya...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
  • Article Article
Wand
SI KWELI 
Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola. Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Boqin
SI KWELI 
Muigizaji Jackie Chan ameonekana akiwa amevaa fulana yenye picha ya Muhoozi kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom