Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na...
Video moja iliyowekwa kwenye mtandao wa Facebook inadai kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto "ameichochea" jamii yake ya Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu wakati wa mkutano wa kampeni kabla ya...
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio...
Kumekuwa na malalamiko ya watu kadhaa kwamba Kondomu za Kampuni ya Bull Zinapasuka sana. Baadhi ya wadau wanaona Kondomu hizo si salama ni laini sana kiasi kwamba hupasuka kirahisi wakati wa tendo...
MADAI
Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza...
Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya...
Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato.
Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya...
Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam.
Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili.
Picha...
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe...
Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus
Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na...
Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali...
Wakuu hasa wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla nataka kupata Ufafanuzi hapa Kidogo!
Chupa zetu za Kuhifadhi Joto La Vinywaji au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani...
Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni...
Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku...
Watumiaji mitandao ya kijamii bado wanauliza kama Rihana na Asap Rocky huenda wameachana baada ya chapisho la mmoja wa mashabiki wa muziki kuchapisha kuwa Rihana na Asap wameachana na kupelekea...
Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.