Responded Threads

Nyakijooga
KERO Responded 
Hii ndio hali ya Barabara ya Tabata - Kimanga kutokea Tabata Bima, barabara imeharibika sana hasa kutokea Chama mpaka Mawenzi. Gari nyingi zinaharibika kila siku na wakati mwingine hasa wakati...
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Waufukweni
KERO Responded 
Wakuu! Hii haikubaliki Mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake kati ya Simba Queens na Mashujaa Queens hapo jana (Mei 12) ilizua taharuki baada ya kumalizika kwa sare ya mabao 2-2. Baadhi ya Viongozi wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nyakijooga
DOKEZO Responded 
Mwanzoni mwa Mwezi Machi, 2025 mdau aliripoti Meli ya New Mv Victoria Hapa Kazi Tu kutofanya kazi, na niliona mamlaka husika zilitolea ufafanuzi suala hilo kwamba meli ilikuwa imesitisha huduma...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
KwetuKwanza
KERO Responded 
Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka...
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Cute Wife
DOKEZO Responded 
Wakuu salam, Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi. Edga Mwakabela (Sativa)...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Black Butterfly
KERO Responded 
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa. Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Precious Diamond
KERO Responded 
Wakuu salam, Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant...
44 Reactions
593 Replies
77K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
a Aprili 29, 2025, kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza...
1 Reactions
0 Replies
896 Views
Anonymous
KERO Responded 
Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi— Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Boran Jakutay
KERO Responded 
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuhusiana na ubovu wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa, kumekuwa na ahadi nyingi lakini utekelezaji unasuasua. Tunafahamu juhudi za viongozi zinazofanywa, lakini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkono Mmoja
KERO Responded 
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
mwanamwana
DOKEZO Responded 
Ni mambo ya ajabu sana huku tulipofikishana. Septemba 21 mwaka huu DAWASA iliuhakikishia umma wa Tabata kuwa kutakuwa na uhakika wa maji, lakini mpaka leo navyopandisha mnakasha huu kuna baadhi ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
DogoWaNjombe
KERO Responded 
Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Insidious
KERO Responded 
Kwa Yeyote Anayehusika, Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nyakijooga
KERO Responded 
Wakuu salamu Mimi Mfanyakazi kutoka Kampuni ya China Tanzania Security (CT) ambayo inahusika na usimamizi wa miundombinu katika Vituo vya Mabasi ya Usafiri wa Haraka (Mwendokasi) (DART) pamoja na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
NBica
DOKEZO Responded 
Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
KwetuKwanza
DOKEZO Responded 
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Shahada wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kutoka kampasi zote wa Mwaka wa Masomo 2023/2024 tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa vyeti licha ya kufuzu...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mshangazi mdogomdogo
DOKEZO Responded 
Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya...
2 Reactions
1 Replies
627 Views
ngara23
DOKEZO Responded 
Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji. Hii shule inamilikiwa na nani? Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom