Mimi ni Ajira Mpya Mkoa wa IRINGA sisi ajira mpya tumepata changamoto ya kulipwa pesa pungufu ya kujikimu ukilinganisha na halmashauri zingine mfano Afisa Muuguzi Msaidizi, halmashauri zingine...
Juzi, takribani siku tatu zilizopita, niliona andiko la mdau likielezea kero ambayo sisi abiria tumekuwa tukikumbana nayo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Kwa zaidi ya miezi mitano, huduma za...
Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi.
Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu...
Taa za Kuongozea magari zilizopo eneo la Biafra, Kinondoni zimeanza kufanya kazi baada ya kuwa na changamoto ya kutowaka, hali ambayo ilisababisha Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa hali hiyo ni...
Nimeona watu wakinusurika kugongwa na magari, huku pia madereva wakinusurika kupata ajali katika junction ya mataa ya Biafra, Kinondoni. Hali hii inatokana na taa za kuongozea magari kutofanya...
Mimi ni mkazi wa Mbagala na nafanya shughuli zangu katika Soko la Samaki Ferry. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia usafiri wa Mwendokasi kwenda na kurejea nyumbani. Kituo ninachoshukia ninapoenda...
June 2, 2026, Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba alituambia Ajira Mpya 2026 kuwa pesa za kujikimu zimeingia kutoka hazina hivyo wote tutapatiwa pesa zetu za kujikimu, kitu cha ajabu Juni...
Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika...
Habari za wakati ndugu, Mimi ni mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda).
Hivi karibuni hospitalini kwetu kumetokea tukio la kinyama, tukio la...
Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi...
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kimara Stopover, Mtaa wa Bi...
Nimefika katika jengo la RITA kufuatilia cheti cha mdogo wangu baada ya kupita takribani miezi miwili tangu nilipotembelea mara ya mwisho. Napenda kutoa mrejesho kuhusu changamoto ambayo ilikuwa...
Nilifanya maombi yangu mwezi Februari 2026 na nikalipia gharama zote zinazohitajika kwa mujibu wa taratibu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu bila kupata mrejesho, nilipofika kufuatilia niliambiwa...
Jamani na sisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tulioajiriwa mwezi wa tisa 2025 tukaanza kazi Novemba hatujalipwa pesa ya kujikimu had leo hii, tunafuatilia sana lakini wapiii.
Yaani...
Watu wa Kimara Michungwani mtaa wa Mengeni tunapata sana shida ya maji ingawa mvua zinanyesha lakini tunakaa week 3 hadi mwezi bila maji na tunaona hali hii haitatuliwi maana ni muda mrefu sasa...
Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover.
atizo hili ni la muda...
Ajira mpya wa sekta ya afya—tulioripoti kazini Januari 2026 katika Manispaa ya Singida Mjini na Wilaya ya Mkalama.
Mimi ni Tabibu Msaidizi Daraja la Kwanza. Tulitarajia kulipwa fedha za kujikimu...
Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni...
Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakuwa wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea...
Sasa hivi mvua zinanyesha mikoani na hata Dar wakati mwingine Stop Over (kimara) huu ni mwezi wa pili hatuna maji, hii ni changamoto sana wahudumu wa DAWASA mtaani tunawauliza wanasema DAWASA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.