Wakuu
====
Ni kweli kuwa Rais wa Burkina Faso anataka kuidhinisha kiswahili kuwa lugha ya taifa badala ya Kifaransa? Msaada Kwa mwenye ukweli wa taarifa hizi??
Wakuu nimekutana na hiki kipande cha video kikimuonesha Hushpuppi akiwa amehudhuruia kwenye sherehe y Davido na anagawa pesa.
Taarifa hiyo inaeleza pia kuwa Hushpuppi alipewa ruhusa ya kuwa nje...
Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli.
Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu...
Wakuu,
Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
Wakuu nimeona Mbunge Angelina Mabula anasema ukitoa yeye na Waziri Juma Aweso hakuna waziri mwingine ambaye amekaa wizara moja kwa muda wa miaka minane mfulululizo, Je ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.