BARIDI MPAKA AGOSTI. KUMBUKA: Kuanzia leo saa 5:27 asubuhi, tutapata APHELION PHENOMENON. Dunia itakuwa mbali sana na Jua ☀️.
Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake...
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya...
Wakuu nmekutana na hili sijui gazeti sijui kipeperushi kikielezea kuwa Rais wa TEC amesema ana imani na jeshi la polisi na amewasailiana na IGP Wambura kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Katibu wa...
Wakuu, Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye hivi karibuni nimemsikia akisema akisema mwaka 2018 yeye na wabunge wenzake wa mikoa ya kusini walisimama kutetea zao la korosho bungeni, Pia akitaja...
Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi...
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi...
Wakuu nimeona hii taarifa kuwa Mbunge wa Chadema wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan, ametangaza kuwa atashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, akipinga kaulimbiu ya chama chake ya "No Reform, No...
TAARIFA KWA WANACHAMA, WANANCHI NA WAPENZI WA CHADEMA TANZANIA
Ndugu wanachama, Wananchi na wapenzi wa CHADEMA,
Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya uzinduzi wa Operation #NoReforms, NoElection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.