Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa
Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi...
Wakuu nimekutana na hii Post huko Facebook ikiwa na ujumbe huu pamoja na picha.
Sasa mbona hii ajali hamtangazi na imetokea toka jana jioni!
Tuseme mpaka sisi...
Wakuu nimekutana na hii taarifa kutoka kwa baadhi ya watumiaji wa Instagram wakieleza wawili hao wamekutana jana ikiwa ni siku mbili kuelekea uchaguzi mkuu Uganda.
Je ni kweli?
Wakuu hii video inatembea sana mtandaoni kuwa Mwanaume aliyemwokoa mwanamke kutoka kwenye ajali ya gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya unyanyasaji wa kingono. Je, mtu anawezaje kumshitaki mtu...
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?
i
Nimeona Tanzania Abroad huko X ameweka picha hii na kusema ni "Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya!! Hiki kizazi bado kipo kumbe nilidhan ni mayai mayai sana Shule zirejeshe watu wenye...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwaipaya anasema video hii ni Mamlillion ya Wananchi wa Venezuela wapo mtaani wakishangilia Dicteta Maduro kutolewa madarakani.
Wakuu nimekutana na video ya huyu jamaa naeleza kuwa mtu akitaka Saratani (Cancer) hana haja ya kutumia dawa zza hospitalini ili kutibu ugonjwa huo na badala yake anapaswa kuacha kula vitu vyenye...
Wakuu kuna hizi media nimeona zimeshupaza shingo kudai Baraza la maaskofu katoliki Tanzania katika waraka wao walioutoa Oktoba 14, 2024 wamebariki uchaguzi. Je, ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.