KWELI Threads

  • Article Article
Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Instagram Likieleza Kuwa Bahari Ya Galilaya Imegeuka Nyekundu Kama Damu Chapisho Hilo Limechapishwa Kwenye Ukurasa Wa Global Tv Online's Nimeona Nilete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Wakuu wa JamiiCheck naomba msaada wa hili, kuna rafiki angu mmoja ameniambia kula maboga kunasaidia kuimarisha afya ya macho. Je, ni kweli?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
mapembelotz
KWELI PreGE2025 
Je hii ni ya kweli
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Article Article
Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
  • Article Article
Mdau Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde? Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Nimekuwa nikiona wafugaji wa sungura wakivuna mkojo wa wanyama hao na kudai kuwa unaweza kutumika kama mbolea na dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao. Wakuu wa JamiiCheck uhalisia wa hili ni upi?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Article Article
Salama wanajamvi? JamiiCheck naomba msaada wa kupata uhalisia wa hili kwamba wapo funza wanaoweza kuishi kwenye sikio la binadamu, je, ni kweli? na kama ni kweli kuna madhara gani na tunaepukaje?
0 Reactions
1 Replies
595 Views
  • Article Article
Huku ukibainisha vigezo muhimu vya majibu yako, Ni ipi kati ya picha hizi mbili, imetengenezwa kwa kutumia Akili Unde?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Article Article
wakuu, picha hii inanipa mashaka kama ni halisi wana JamiiCheck naomba mnisaidie kujua uhalisia
0 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Article Article
Naomba kuwa na uhakika picha iliyotolewa na millard naona itakuwa ya akili unde.
3 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimekuwa nikisikia watu wakisema usicheze na paka au usikae naye karibu utapata pumu, je hii ni kweli?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Article Article
1 Reactions
4 Replies
3K Views
  • Article Article
Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Article Article
Baada ya kauli ya CDF wa Tanzania Jenerali Mkunda kusema kuwa 'Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi' imenifikirisha sana nikakumbuka nilishawahi kusikia tetesi...
10 Reactions
44 Replies
8K Views
  • Article Article
Nauliza kuna ukweli wowote kwamba wazee wa zamani waliweka chura kwenye maziwa kuyazuia yasigande? Je kama ni kweli ni wazee wa makabila yapi? Kama ni kweli chura ana properties gani kitaalamu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Article Article
Mdau shiriki kuthibitisha Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo yenye maji ambayo ndani yake kuna mimea iliyoota huku kukiwa na watu wanotembea kwa miguu. Je, ni halisi au...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimekuwa ni mtumiaji wa panadol katika kusafisha pasi yangu inapochafuka, lakini nimepigwa na butwaa na kupata wasiwasi baada ya kukutana na post mtandaoni kuwa matumizi hayo ya panadol ni hatari...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
  • Article Article
Mdau shiriki kuthibitisha. Je katika picha hii ni yupi Kylian Mbappe halisi kati ya hawa huku ukibainisha vigezo vya majibu yako.
3 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Article Article
Wakuu nmeona video ikielezea kuwa miongoni mwana ukoo wa mwanzilishi wa Whiskey alimnunua binti wa miaka kumi huko Congo miaka ya 1880 na kisha kumtizama akiuliwa na kuliwa.
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Back
Top Bottom