Kufuatia vita iliyoibuka kati ya Iran, Marekani na Israeli kumeibuka video mbalimbali kuhusu mashambulizi yaliyofanyika huko lakini nyingine si halisi bali zimetengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya...
Je, hili ni kweli wakuu?
By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used...
Kuna video inayosambaa kwa kasi kwenye mtandao wa TikTok na majukwaa mengine, ikidai kuonesha dakika za mwisho za msemaji wa kundi la M23, Willy Ngoma, akishambuliwa na kuuawa na ndege zisizo na...
Wakuu nimekutana na hii picha yenye mandhari ya kuvutia sana. Navutiwa sana kuishi maeneo yenye utulivu na mvuto kama huu. WanaJamiiCheck naomba mnisaidie kujua hapa ni wapi?
Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa...
Mdau
Je, unaweza kubainisha dosari zinazoonekana katika video hii na kuelezwa kuwa ni mashambulizi ya 'drones' yaliyofanywa na Ukraine katika makazi ya Rais wa Urusi Vladmir Putin. Inaelezwa kuwa...
Kumekuwa na video ambayo inasaambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook ikimuonesha aliyekuwa refree wa mchezo kati ya Morocco dhidi ya taifa stars akizungumza mara baada ya kutamatika kwa...
Hapa nahisi kama napigwa changa la macho, inawezekana gari kutembea kwa tairi tatu pekee? JamiiCheck, na wajuvi wa masuala haya mtujulishe lipi ni lipi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.