KWELI Threads

  • Article Article
Mdau wa JamiiCheck kutokea instagram amehitaji kujua. Je, alama ya msalaba ama jumlisha inayoonekana kwenye baadhi vidonge huwa inaashiria nini?
2 Reactions
3 Replies
451 Views
  • Article Article
Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
4 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Article Article
2 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Article Article
Huku ukieleza nyenzo ya kidigitali uliyotumia, bainisha picha halisi iliyotumika kutengeneza video hii.
2 Reactions
4 Replies
469 Views
  • Article Article
Mdau shiriki kuthibitisha kati ya picha hizi mbili, ipi ni halisi? Bainisha tofauti tano zilizopo katika picha hizi.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
  • Article Article
Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Facebook likielekeza Kuwa Dawa Ya Kufubuza Ukimwi ARV Inaweza Tumika Kutibu Ugonjwa Wa Homa ya Ini.Jamii check je Ukweli wa Hoja Hizo ni zipi. Mfano Wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article Article
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani...
23 Reactions
129 Replies
16K Views
  • Article Article
Vipi mdau! Shiriki kuthibitisha video hii kwa kubainisha dosari unazoziona. Je,Je, zinaakisi uhalisia?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Article Article
Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa video, bainisha eneo halisi video hii iliporekodiwa huku ukieleza Nyenzo uliyotumia.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Article Article
Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu. "Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Article Article
Kumekuwa Na Picha Ambayo Inasambaa Kwenye Mitandao wa Kijamii Wa Facebook Ukichapishwa Na Baadhi Ya Account za watumiaji zikionesha Chapisho La Hussein Bashe " Sote Tusimame Tuseme hapana Kwa...
1 Reactions
3 Replies
776 Views
  • Article Article
Wakuu, leo baada ya kuamka na kutaka kusafisha kinywa nikagundua mswaki wangu ni wa kitambo sana sijaubadilisha, JamiiCheck kuna madhara yoyote naweza kupata kutokana na kutumia mswaki mmoja muda...
2 Reactions
8 Replies
561 Views
  • Article Article
Nimesikia kuwa msainii wa reggae wa Afrika kusini, Senzo Mthethwa, yupo hai na kwamba hakuuawa na Lucky Dube kama ambavyo nilisikia hapo awali. Senzo nilikuwa namkubali sana kwa kazi zake kama...
6 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Article Article
Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha, bainisha eneo halisi picha hii ilipopigwa na Nyenzo uliyotumia.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
  • Article Article
Kwa kutumia nyenzo za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha bainisha eneo halisi picha ilipopigwa na nyenzo uliyotumia.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Article Article
Wakuu Hili tukio kwenye video hii ni la kweli?
2 Reactions
25 Replies
7K Views
  • Article Article
Wakuu nimeona kuna hizi jumbe ikiambatana na picha ikionesha matukio yanayofuata baada ya kupatwa kwa mwezi lilitokea Septemba 6, 2025.
1 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Article Article
Ni kweli Profesa Assad alisema hatapiga kura hadi nchi hii ianze kupiga kura kidigital? Alisema lini na akiwa wapi? Maana naona kauli hiyo tu watu wanashare ila sioni wakisema chanzo.
4 Reactions
7 Replies
4K Views
  • Article Article
Je, unaweza kutumia nyenzo mbalimbali za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha? Mdau, huku ukieleza nyenzo uliyoitumia, bainisha eneo halisi ambapo picha hii ilipigwa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom