KERO Threads

Inakuaje kampuni ya usafiri kubwa na yenye jina kama Shabiby mnakera abiria kwa kuwafungulia muziki kwa sauti kubwa usiku wa manane? Gari zenu mnazo nzuri tu ila uswahili ndio umetamalaki...
2 Reactions
5 Replies
698 Views
Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
919 Views
Anonymous
KERO 
Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi...
1 Reactions
2 Replies
259 Views
Anonymous
KERO 
Jamani wakulima wa tumbaku wilaya ya kibondi tunaangamia hatujslipwa stahiki zetu Hadi Leo unakaribia mwezi wa pili baada ya mauzo ya mwisho wakati mkataba wa uuzaji tuliongia na kampuni(AMCOS)...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
Anonymous
KERO 
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Glenn
KERO Responded 
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo; 1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
26 Reactions
129 Replies
13K Views
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
18 Reactions
187 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona. Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Anonymous
KERO 
Kuna namna watu wa ADMISSIONS, Chuo cha MIPANGO DODOMA hawawasikilizi Wateja wao kuna Wanafunzi hadi Mwaka wa Tatu sasa Taarifa zao hazijatumwa NACTE.
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Viongozi ni reflection ya sura ya wananchi. Yaani kwa lugha nyepesi ni kwamba ukitaka kufanya tafiti yoyote kuhusu wananchi usitumie gharama kubwa. Wewe angalia viongozi wao, vivyo ndivyo walivyo...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
0 Reactions
5 Replies
352 Views
Anonymous
KERO 
Hii Mamlaka inafaa gharama zao zipitiwe tena kwani wana charge gharama kubwa sana bila kuzingatia biashara mtu anayofanya ambayo inafanya mazingira ya kufanya biashara kuwa magumu. Hii mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Anonymous (d037)
KERO 
Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Anonymous
KERO 
Migambo wanaotumiwa na Askari Polisi kukamata madereva pikipiki na Bajaj wanaofanya usafirishaji wa Taksi Mtandaoni mfano Bolt au Uber wamekuwa wakiwanyanyasa madereva hao kwa kuwakamata kiholela...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Anonymous
KERO 
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Wasalaam ndugu zangu, KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona? Mfumo...
2 Reactions
10 Replies
608 Views
Naona wamemiss makelele hawa jamaa. Hadi sasa DAWASA day 3 leo hamna tone la maji limetoka mtaani kwetu na wakati TANESCO nao wameona wasiwe nyuma, yamepita masaa 24 sasa wamezima. Ngoja tuone...
3 Reactions
19 Replies
787 Views
Anonymous
KERO 
Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi...
0 Reactions
6 Replies
761 Views
Anonymous
KERO 
Barabara ya NSSF Road, Mbezi Beach, Makonde imekuwa mbovu sana kwa muda mrefu sana. Hivi NSSF wenyewe, kwa barabara yenye jina lao kabisa, hawawezi hata wakaisambaza level? Hata kwa zege tu?
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Back
Top Bottom