KERO Threads

Anonymous
KERO 
Naomba kuwasilisha malalamiko yangu: Ni kwanini hawa PSRS wanapeleka oral interviews Dodoma ilihali written zinafanyka mikoani jambo hili linawagusa graduates wengi wa kada tofauti na ualimu na...
2 Reactions
3 Replies
311 Views
Anonymous
KERO 
Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako. Kiukweli barabara ni mbovu sana...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Anonymous
KERO 
Mwenyekiti na mjumbe wa mtaa huo wamepewa taarifa lakini bado wamekuwa wakipuuzia sababu hawako jirani na eneo hilo. Ni hatari kwenye makazi ya binadamu, Serikali itusaidie kwa kumkemea awajibike...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kero inayotukumba sisi vibarua wa manispaa. Sijui kama hali ni sawa kwa manispaa zingine, lakini hapa Tanga changamoto kubwa ni ufinyu wa malipo. Kwa sasa, vibarua wa usafi wa jiji wanalipwa...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na changamoto ya ajira kwenye kampuni ya TTCL kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Watu wanafanya sana kazi za internship bila kuajiriwa. Pia mikataba yao siyo mizuri; kwa zaidi ya miaka sasa...
5 Reactions
10 Replies
398 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwalimu wa Ajira mpya wa kada ya Ualimu (Sekondari), halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoa wa kigoma. Nimeajiriwa yangu tarehe 24 April 2025 nilitakiwa kulipa kiasi cha Tshs 1,095,000/=...
0 Reactions
10 Replies
431 Views
Ndugu wanabodi, heshima kwenu nyote. (Unaitikia igweeeeee) Serikali ya CCM imefeli sana kwenye utoaji huduma. Ni kweli. Achana na mahospitali, shule za umma, jeshi la polisi na kwingine kote...
2 Reactions
7 Replies
337 Views
Anonymous (0166)
KERO 
Habari Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika. Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza...
3 Reactions
5 Replies
225 Views
Anonymous (e413)
KERO 
Watumishi wa Shirika la nyumba (NHC) kwakushirikiana na madalali wa kuhamisha vitu kutoka kwenye ofisi mbalimbali maarufu kwa “Brokers” wamevamia ofisi yetu iliopo posta jijini Dar es Salaam na...
0 Reactions
2 Replies
205 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mhitimu wa Degree wa Mwaka 2025 katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Main Branch Dar es Salaam, kero yangu ni mfumo mbovu ambao umesababisha Wanafunzi 37 kushindwa ku-graduate. Hii ni...
3 Reactions
5 Replies
334 Views
Anonymous (9a98)
KERO 
Mimi ni mdau katika sekta ya usafirishaji mizigo. Inapotokea unasafirisha baadhi ya mizigo kama Abnormal loads, Hazardous loads, unstable loads na Super loads ni lazima uwe na vibali maalumu...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Anonymous
KERO 
Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi...
2 Reactions
0 Replies
350 Views
Tatizo la huduma ya mnara wa kampuni ya TTCL katika mkoa wa SINGIDA , wilaya:IKUNGI ,kata :MISUGHAA. Mnara huu unachangamoto ya nishati inayotumika haitoshi kabisa sasa ni mwezi unaisha na siku...
0 Reactions
7 Replies
217 Views
Ukifika hapo Open University Kinondoni Center Biafra Vyoo ni vichafu sana vimejaa vimeziba na majengo yake chakavu sana, mpaka unajiuliza hivi hapa kuna wasomi kweli??!! Hebu rekebisheni basi...
1 Reactions
2 Replies
216 Views
Anonymous
KERO 
Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
2 Reactions
6 Replies
281 Views
Anonymous
KERO Responded 
December 15 2025, Serikali kupitia tovuti ya makao makuu Veta ilitoa orodha ya Vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2026. Orodha ilibainisha jina la chuo alichochaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Anonymous
KERO 
Habari wanajamii, Leo naomba kuwasilisha kero yangu ambayo kwa sisi wakazi wa Ushirika wa Neema, Moshi inatukwaza sana, nayo ni KERO YA MAJI. Inashangaza kuona eneo kama Ushirika wa Neema kuna...
3 Reactions
3 Replies
167 Views
Baadhi ya maeneo ya Dar usiku mkali wa leo TANESCO mmekata umeme. Ili joto + mbu ni mateso.
2 Reactions
14 Replies
421 Views
Anonymous (6198)
KERO 
Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa...
3 Reactions
6 Replies
333 Views
Anonymous
KERO 
Habari za majukumu. Kumekuwa na utaratibu wa abiria wanaokata ticketi online katika kampuni ya GEITA EXPRESS kutozwa gharama za ziada mbali na nauli ilivyoandikwa kwenye mfumo wa ukataji tiketi...
0 Reactions
9 Replies
250 Views
Back
Top Bottom