KERO Threads

Anonymous
KERO 
Hizi ajira zao zilitangazwa mnamo mwaka jana mwezi wa nane (Agosti 2024) mpaka kufikia leo mchakato wake haujakamilika. Tukiangalia taasisi kama Tanapa, Uhamiaji, Polisi pamoja na Magereza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Anonymous
KERO 
Huu ni mwezi wa pili kwa wawekezaji kupitia UTT amis wengi hawawezi kuuza vipande vyao wala kuona taarifa zao kupitia application. Awali walisema ni changamoto ya application hivyo unataka...
10 Reactions
133 Replies
3K Views
Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar...
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo...
5 Reactions
17 Replies
491 Views
Anonymous
KERO 
Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Anonymous
KERO 
Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki “Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Anonymous (2a9d)
KERO 
Kumekuwepo na tabia ya watu kutoka taasisi za mikopo na baadhi ya benki (ambazo mtumishi sio mteja) kumtafuta mtumishi wa uma na kumuelezea masuala ya mikopo. Maswali ya kujiuliza ni: Je...
2 Reactions
3 Replies
297 Views
Anonymous (54df)
KERO 
Kuna kitu kimoja katika Chuo Cha DIT sikielewi. DIT Kuna Hostels ambazo wanaopangiwa ni government sponsored na First year nadhani. Sasa unaukuta Kuna hostels zimebaki ambazo wanatakiwa wapangiwe...
3 Reactions
8 Replies
225 Views
Anonymous
KERO 
Habari JamiiForums. Naomba kuwasilisha kero yangu kwa mamlaka ya usafirishaji wa mizigo kupitia treni MGR Dar es Salaam kuja Dodoma. Usafiri huu umekuwa ni changamoto kubwa ni mwezi sasa...
2 Reactions
2 Replies
157 Views
Anonymous (2311)
KERO 
Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa...
2 Reactions
3 Replies
255 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya...
1 Reactions
1 Replies
168 Views
Anonymous
KERO 
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums...
1 Reactions
13 Replies
762 Views
Baadhi ya Wafanyabiashara katika Soko la Sabasaba jijini humo wamelalamikia hali ya miundombinu mibovu ya mitaro ya majitaka, ambayo inasababisha maji chafu kupita karibu na maeneo yao ya...
1 Reactions
7 Replies
337 Views
Anonymous
KERO 
Naomba kuwasilisha malalamiko yangu: Ni kwanini hawa PSRS wanapeleka oral interviews Dodoma ilihali written zinafanyka mikoani jambo hili linawagusa graduates wengi wa kada tofauti na ualimu na...
2 Reactions
3 Replies
311 Views
Anonymous
KERO 
Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako. Kiukweli barabara ni mbovu sana...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Anonymous
KERO 
Mwenyekiti na mjumbe wa mtaa huo wamepewa taarifa lakini bado wamekuwa wakipuuzia sababu hawako jirani na eneo hilo. Ni hatari kwenye makazi ya binadamu, Serikali itusaidie kwa kumkemea awajibike...
0 Reactions
1 Replies
146 Views
Back
Top Bottom