KERO Threads

News Tz1
KERO Responded 
Kama inavyofahamika kwa wengi, kampuni nyingi za mabasi jijini Dodoma hutumia ofisi zao kama maeneo ya kusubiri usafiri au kushusha abiria. Hali hii huzifanya ofisi hizo kubeba jukumu la kuhudumia...
5 Reactions
15 Replies
414 Views
Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa...
2 Reactions
12 Replies
408 Views
Anonymous
KERO 
Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana Lakini, Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria...
2 Reactions
13 Replies
263 Views
Anonymous (54df)
KERO 
Mimi ni mmojawapo wa waaajiriwa katika idara mpya katika Halmashauri ya mji Kasulu. Tumeajiriwa toka tarehe 1/07/2025 mpaka sasa hatujalipwa pesa za kujikimu. Tukiiuliza, wanasema pesa hazijaja...
0 Reactions
3 Replies
245 Views
Anonymous
KERO 
Daladala za Mawasiliano kwenda Masaki kwa asubuhi ni changamoto sana, unakuta watu wamejazana kituoni pale Mawasiliano, daladala zikija hazifiki mwisho wa Kituo, zinageuzia katikati na abiria...
2 Reactions
2 Replies
298 Views
Anonymous
KERO 
Moja ya kero kubwa iliyopo katika maeneo yetu ni suala la pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula. Haijulikani ni vigezo gani mamlaka husika zimezingatia kuruhusu hali hii, jambo ambalo limeanza...
1 Reactions
1 Replies
211 Views
Anonymous
KERO 
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:- Nawasilisha kero hii kwa...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Anonymous
KERO 
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe. Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
Anonymous (54df)
KERO 
Uongozi wa Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere analazimisha Wazazi tulipe hela ya suti Tsh 120,00 bila kikao cha Wazazi na bila ridhaa ya Wazazi na bila kujali kama tuna uwezo au lah. Uongozi...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Anonymous
KERO Responded 
Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Anonymous (fbd0)
KERO 
Naomba kuwasilisha changamoto ambayo inawakumba watumiaji wa bima haswa NHIF. Lengo la serikali ni kuhakikisha watu wote wanapata huduma za afya bila vikwazo. Lakini imeibuka changamoto katika...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/...
2 Reactions
16 Replies
626 Views
Anonymous
KERO 
Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo. Makaburi...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Anonymous
KERO 
Walimu 25 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji tulishushwa madaraja bila taarifa yoyote huku Katibu TSC, Tume ya Utumishi wa Walimu ndugu Nathan Balanzinze akisema alikosea kutupandisha. Hii imeathiri...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Anonymous
KERO 
Hizi ajira zao zilitangazwa mnamo mwaka jana mwezi wa nane (Agosti 2024) mpaka kufikia leo mchakato wake haujakamilika. Tukiangalia taasisi kama Tanapa, Uhamiaji, Polisi pamoja na Magereza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Anonymous
KERO 
Huu ni mwezi wa pili kwa wawekezaji kupitia UTT amis wengi hawawezi kuuza vipande vyao wala kuona taarifa zao kupitia application. Awali walisema ni changamoto ya application hivyo unataka...
10 Reactions
133 Replies
3K Views
Back
Top Bottom