Daladala za Mawasiliano kwenda Masaki kwa asubuhi ni changamoto sana, unakuta watu wamejazana kituoni pale Mawasiliano, daladala zikija hazifiki mwisho wa Kituo, zinageuzia katikati na abiria...
Moja ya kero kubwa iliyopo katika maeneo yetu ni suala la pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula. Haijulikani ni vigezo gani mamlaka husika zimezingatia kuruhusu hali hii, jambo ambalo limeanza...
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:-
Nawasilisha kero hii kwa...
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe.
Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa...
Uongozi wa Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere analazimisha Wazazi tulipe hela ya suti Tsh 120,00 bila kikao cha Wazazi na bila ridhaa ya Wazazi na bila kujali kama tuna uwezo au lah.
Uongozi...
Hali ya maji Ubungo ni mbaya sana na DAWASA wapo kimya, hawatoi solution kwa Wananchi, kuna baadhi ya maeneo wiki ya nne sasa hatujapata maji, wenzetu wa Mabibo Makutano - Mtaa wa Kanuni nao ndio...
Naomba kuwasilisha changamoto ambayo inawakumba watumiaji wa bima haswa NHIF.
Lengo la serikali ni kuhakikisha watu wote wanapata huduma za afya bila vikwazo.
Lakini imeibuka changamoto katika...
Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali.
Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/...
Video hii nimeirekodi Dodoma katika Makaburi ya Mtaa wa Msamalia, Kata ya Chang'ombe. Kumekuwa na hii kero ya muda mrefu sana katika maeneo ya Makaburi haya. Pamegeuzwa kuwa dampo.
Makaburi...
Walimu 25 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji tulishushwa madaraja bila taarifa yoyote huku Katibu TSC, Tume ya Utumishi wa Walimu ndugu Nathan Balanzinze akisema alikosea kutupandisha.
Hii imeathiri...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye...
Hizi ajira zao zilitangazwa mnamo mwaka jana mwezi wa nane (Agosti 2024) mpaka kufikia leo mchakato wake haujakamilika.
Tukiangalia taasisi kama Tanapa, Uhamiaji, Polisi pamoja na Magereza...
Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na...
Habari ndugu zangu!
Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya.
Uwanja...
Huu ni mwezi wa pili kwa wawekezaji kupitia UTT amis wengi hawawezi kuuza vipande vyao wala kuona taarifa zao kupitia application.
Awali walisema ni changamoto ya application hivyo unataka...
Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi
Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar...
Kwa wakubwa wetu waliozaliwa miaka ya 1960-1970, maarufu kama baby boomers, watakuwa na kumbukumbu nzuri ya usemi maarufu wa enzi hizo, "Sex, drugs, rock and roll" ambao kimsingi ulikuwa ni wimbo...
Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa...
Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji
Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji...
Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea.
Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.