Mwendokasi wa Malori ya mchanga na kokoto imekuwa ni kero kwa barabara ya mji mwema kuelekea dege/kimbiji ajari zimekuwa ni kawaida kupinduka, kugonga magari madogo au pikipiki na hata kusabisha...
Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa.
Hii imepeleka...
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard...
Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa...
Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi...
Nina dukuduku kuhusu Walimu wa Shule ya Secondary Kijichi, Wilaya ya Temeke... kumekuwa na michango ya kila siku inatuumiza sisi Wazazi maskini hasa Wanafunzi wa Science kufanya practical mpaka...
Halmashauri ya Nsimbo Mkoa Katavi, fedha ya kujikimu kwa Walimu wa Sekondari hatujapata tangu Mwaka 2025, cha kushangaza Walimu wenzetu wa shule za msingi walipewa.
Tumefatilia majibu ni kwamba...
Helloo JamiiForums, tunaomba kuripotia kadhia iliyopo katika Bank ya NMB MLELE DC tunayoipata Wananchi, Customer Care ni mbovu mno, mtu mmoja unakaa ukisubiri huduma zaidi ya dakika mpaka 50 bila...
Mimi ni mlemavu wa viungo, sina mkono mmoja, Mwaka 2025 nimefanya usaili na nikapata alama 55 lakini sikuchaguliwa. Sasa nataka kuelewa labda kuna kitu sikuambatanisha, kwenye account ya...
TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa.
Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya...
Machi 23, 2022 Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG)...
Itoshe tu kusema Jiji la Mbeya ni moja ya miji yenye miundombinu duni kabisa Tanzania hii.
Jiji lisilo na mpangilio maalumu, barabara duni, mifereji ya majitaka mibovu na inasababisha kujaa maji...
Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina...
Sisi wafanyakazi wa zamani wa Kampuni Power Placers Ltd. ambayo ni kampuni iliyokuwa ikiajiri kwa ajili ya Wafanyakazi kufanya kazi chini ya Kampuni ya Yapi Merkezi kwenye mradi wa ujenzi wa reli...
TTCL (T Pesa) inasumbua wateja wanashindwa kutoa fedha zaidi ya muda wa siku nne mfululizo na hakuna majibu yanayoridhisha kutoka kwa customer care
Majibu yao ni "Kuna hitilafu ya kiufundi...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo .
Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa ...
Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari...
Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea...
Tunaomba tusaidiwe wanachuo tuliomaliza Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala kilichopo Gongo la Mboto toka mwezi wa saba mwaka jana mpaka leo tarehe 28.01.2026 hatujapewa vyeti kwa course...
Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu.
Imekuwa kama mpira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.