KERO Threads

Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata...
1 Reactions
1 Replies
218 Views
Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika...
1 Reactions
2 Replies
205 Views
Anonymous
KERO 
Kampuni ya ulinzi ya Garda World imeendelea kukiuka haki za wafanyakazi wake kwa kushindwa kuongeza mishahara. Mbali na hilo, kampuni hiyo imekaa kimya kabisa kuhusu utekelezaji wa agizo la...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
Anonymous
KERO Responded 
Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika. Hata hivyo...
1 Reactions
3 Replies
222 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba mamlaka zinazohusika na udhibiti wa vyakula zihakikishe kuwa tarehe ya mwisho wa matumizi (expire date) inawekwa kwa uwazi na kwa maandishi yanayosomeka vizuri kwenye bidhaa, ili kulinda...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Anonymous
KERO 
Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Anonymous
KERO 
Changamoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, imekuwa tatizo kubwa sana kwa watumishi hasa walimu kusubiri kupitishiwa malipo mbalimbali katika Idara za Elimu, Afya. Mfano...
0 Reactions
6 Replies
269 Views
Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika...
24 Reactions
62 Replies
3K Views
Unakaa kituoni dakika 45 mpaka lisas aah jamani sio kweli. Wengine tunafanya kazi kwa wahindi mnatupa wakati mgumu kujielezea Kila siku.
1 Reactions
2 Replies
128 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini...
11 Reactions
63 Replies
932 Views
Hii error imekuja baada ya kuwasilisha au kusubmit kero yangu. Kiufupi wanajaribu lakini bado Mapungufu mengi. Nimelipia huduma imepita wiki nzima ndio wanakuja kufunga fiber na wakikufungia...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Kuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona...
5 Reactions
35 Replies
659 Views
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
Anonymous
KERO 
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero. Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA...
2 Reactions
5 Replies
281 Views
Wakazi wa maeneo ya IPOIPO kuelekea Kihonda Sekondari tunaendelea kupata adha kubwa kutokana na hali mbaya ya barabara hii. Mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya zaidi — magari, bajaji na pikipiki...
0 Reactions
7 Replies
251 Views
Video hii imerekodiwa katika eneo la Sinza Afrikasana Jijini Dar es salaam ikionesha usumbufu wanaoupata wapita njia pamoja na magari na kuathiri shughuli za kila siku baada ya maji kujaa katika...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Anonymous (9713)
KERO 
Mimi ni muajiriwa wa VETA intake ya mwezi wa 9 Mwaka 2025, tokea nimeajiriwa sasa ni miezi mitano lakini pesa ya kujikimu mimi na wenzangu hatujapata na hatujui ni lini tutaipata. Hii inatupa...
0 Reactions
4 Replies
196 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya wilaya ya CHATO upande wa Sekondari tangu Mwaka 2025 Mwezi wa Pili hatujalipwa pesa ya kujikimu, wenzetu wa Shule ya Msingi walilipwa kiwango kidogo nje ya...
1 Reactions
5 Replies
285 Views
Anonymous
KERO 
Ajira mpya Afya Makambako TC 2025 hatujapewa pesa ya kujikimu hadi Februari hii 2026, sasa na hao watu wa mikopo wanatusumbua sana.
1 Reactions
5 Replies
222 Views
Anonymous
KERO 
Tulionunua viwanja vya mradi wa serikali vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani tunaomba kujua hatma yetu ya kupewa hati kwasababu wananchi tulionunua hivyo viwanja...
1 Reactions
3 Replies
688 Views
Back
Top Bottom