KERO Tunadai Pesa za kijikimu mwaka sasa - Mbeya jiji

KERO Tunadai Pesa za kijikimu mwaka sasa - Mbeya jiji

  • Thread starter Thread starter Anonymous (67f4)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hebu na sisi ajira mpya wa Mbeya jiji tupige kelele huenda tukafikiwa kama wa Mwanza, huku kuna ajira mpya ualimu wamefikisha mwaka na wengine tunakaribia kumaliza mwaka wa kwanza kazini ila pesa za kujikimu imekuwa kitendawili.

Kwenye 1.2m tumepewa 350k pekee mwezi wa 9 mwaka jana. Ukiuliza wanasema pesa haijatoka, mwaka umepita sasa.

Tunaomba taasisi na wizara zinazohusika ziingilie kati suala hili Mbeya jiji.
 
Pesa za kukamilisha tu Barabara hapo Mbeya hizo njia 4 imekosekana,Hizo pesa za Kuwalipa watumishi wakale mayai na juisi ya kopo zitoke wapi?
 
Back
Top Bottom