KERO Threads

Anonymous
KERO 
Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo...
1 Reactions
4 Replies
360 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Watumiaji wa Antenna za Azam mkoani Arusha kila ikifika saa Moja jioni Channel zinaanza kuganda ganda , mbaya zaidi channel pia zinaendelea kupungua mara kwa mara. Ukiwasiliana na huduma kwa...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Kuhusu swala la uthibitishwaji kazini Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, watumishi wa idara mbalimbali wapo ambao wana miaka miwili, na mmoja mpaka sasa hajathibitishwa. Watu wa Human Resources...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Anonymous
KERO 
Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara...
2 Reactions
3 Replies
212 Views
1. Barabara Kuu: Arusha - Simanjiro - Kiteto - Kongwa Hii ni moja ya barabara ndefu zaidi nchini iliyobaki katika kiwango cha changarawe inayounganisha mikoa mitatu. Barabara hii, iliyo chini ya...
2 Reactions
3 Replies
201 Views
Kile kilio cha walimu ajira mpya kutokulipwa pesa zao za kujikimu kimeifikia wilaya ya kishapu. Awali uongozi wa halmashauri ulisema haujalipa kwa sababu pesa haijafika kutoka hazina, ila baada...
1 Reactions
1 Replies
143 Views
Anonymous
KERO 
Serikali ilizindua mtaala mpya na ulioboreshwa wa mwaka 2023 ulioanza kutumika mwaka 2024 kwa baadhi ya shule na mwaka 2025 ulianza kutumika kwa shule zote za sekondari. Katika mtaala huu mpya...
2 Reactions
2 Replies
343 Views
Anonymous
KERO 
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
158 Views
Anonymous (c723)
KERO Responded 
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam. Kero yangu ni kwamba...
1 Reactions
3 Replies
268 Views
Anonymous
KERO 
Idara ya Uhamiaji wilaya ya Mufindi wamekuwa na usumbufu sana kwa wananchi na kupelekea wengi kukosa vitambulisho vya NIDA. Hii ni inatokana na maafisa pale kuwarudisha wananchi hata kama zile...
1 Reactions
2 Replies
140 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere Kampasi ya kivukoni, kigamboni haturejeshewi pesa zetu (refund) za ada zilizidi baada ya kupata mkopo kutoka HESLB na hatujui lini tutarejeshewa. Baadhi ya...
3 Reactions
3 Replies
238 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe...
1 Reactions
2 Replies
146 Views
Anonymous
KERO 
Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi! Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Anonymous
KERO 
Mkuranga, Pwani tuna tatizo la umeme unakatika mara kwa mara, ahadi ya TANESCO kushughulikia haijatimia. Mkuranga, Pwani umeme unakatika mara kwa mara, kila baada ya muda mfupi. TANESCO walisema...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Sisi ni Wamiliki wa Tipa za kusomba madini ujenzi Manispaa ya Iringa tuna kero yetu, kwa kawaida Ofisi ya Madini Mkoa huchukua shilingi 8,000 kwa kila ‘trip’ moja. Wakati huohuo Ofisi ya...
1 Reactions
1 Replies
786 Views
Anonymous
KERO 
Barabara ya Bonde la Mchicha ambayo inatumiwa mara nyingi na Wakazi wa Tabata Kimanga, Mawenzi, Segerea, Kinyerezi, Bonyokwa hata Ukonga na Gongo la Mboto ni mbaya na imekuwa kero kubwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Anonymous (c723)
KERO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Anonymous
KERO 
Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na...
1 Reactions
3 Replies
165 Views
Back
Top Bottom