KERO Threads

Anonymous
KERO 
Habari za Leo wakuu, Mimi ni mkazi wa Kigoma Ujiji. Napenda kutoa malalamiko ya wakazi wa Kata za Majengo na Machinjioni - Kigoma Ujiji. Sisi wakazi wa maeneo tajwa tunaishi maisha ya wasiwasi...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Anonymous
KERO 
Ninaandika kama mwanafunzi wa Moshi Co-operative University. Kuna tatizo kubwa ambalo halizungumzwi wazi: baadhi ya lecturers wanatumia vitisho badala ya kufundisha. Tunatishiwa kupewa C au...
1 Reactions
12 Replies
195 Views
Anonymous
KERO 
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
KERO 
Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025. Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na tabia ya wafanyakazi kutotendewa haki katika hiki chuo, mara nyingi wafanyakazi wa hapa hudhulumiwa mishahara yao na wakati mwengine kutolipwa kabisa baadhi ya miezi. Mwaka jana baada...
2 Reactions
3 Replies
251 Views
Anonymous (c723)
KERO Responded 
Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi...
1 Reactions
3 Replies
232 Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba...
2 Reactions
4 Replies
143 Views
Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea...
2 Reactions
6 Replies
209 Views
Kumekuwa na tatizo la maji katika eneo la Lemguru Kisongo A to Z, maji hayajatoka miezi miwili sasa na bili za maji zinakuja zikiwa juu bila maelezo Tatizo limeripotiwa kwa Mkurugenzi idara ya...
1 Reactions
1 Replies
117 Views
Nina uhakika na shutuma hii kuwa ni kweli baadhi ya Kampuni za mawasiliano zinadanganya uma kuwa zinatoa kasi ya 4G au 5G lakini ukweli ni kuwa wamehariri majina ya Band lakini hawajafunga cable...
4 Reactions
3 Replies
137 Views
BM ni mojawapo ya mabasi ambayo imewekeza na kuingia kwenye usafiri na usafirishaji wa parcel kwa nguvu sana. Wana mabasi mengi sana route ya DAR-ARUSHA. Wasafiri wa kanda hizo wanapenda luxury...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Anonymous (8b5c)
KERO 
Baadhi ya vituo vya kutolea huduma za afya wilayani Karagwe ukienda kupata huduma usiku wanakwambia bima ya NHIF haitumiki usiku. Soma Pia: Changamoto kwa baadhi ya vituo vya afya na zahanati...
0 Reactions
3 Replies
174 Views
Kuna maudhi yanayoendelea kwenye customer care au call centre za Tanzania ambayo hatuwezi kuyafumbia macho. Na mengi ya maudhi haya yako mashirika ya simu, na mengine yanayotoa huduma nyinginezo...
4 Reactions
17 Replies
318 Views
Kwenu DAWASA Tabata, Waziri Aweso na watendaji wote wahusika; Mimi mkazi wa Tabata napenda kutoa malalamiko yangu rasmi kuhusu kukosekana kwa huduma ya maji katika eneo letu kwa muda wa zaidi ya...
2 Reactions
23 Replies
367 Views
Anonymous (8b5c)
KERO 
Usaili unaofanyika kwa ajili ya kuomba ajira hauna kiwango na sio halali. Sababu kuu ni: Maswali yanayotolewa hayana uhalisia wa kile nilichosoma. Mfano: Umesoma Veterinary unalatewa maswali ya...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
KERO 
Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika. Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Anonymous
KERO 
Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi...
1 Reactions
1 Replies
184 Views
Anonymous
KERO 
Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao? Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa. Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa...
3 Reactions
3 Replies
427 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza...
2 Reactions
8 Replies
140 Views
Back
Top Bottom