KERO Threads

Anonymous (d932)
KERO 
Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto...
2 Reactions
6 Replies
257 Views
Anonymous (c258)
KERO 
Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Anonymous (0c95)
KERO 
Kuhusiana na changamoto yao kwenye mfumo wa Ajira Portal. Hii course Tanzania inatolewa CHUO CHA USHIRIKA KIKO MOSHI tu. Kwenye mfumo wa Ajira Portal haijapewa kipaumbele kwenye course za...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Anonymous (0c95)
KERO 
Naomba mtusaidie kupazia sauti baraza la Madaktari Tanzania (MCT). Wenye mawasiliano hayo hapo juu ni namba za huduma kwa wateja hawapokei simu. Ni kero sana hadi ugharamike kutoka mikoa ya mbali...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Habari Wanajukwaa, Naleta hili kama mdau na msafiri wa mara kwa mara. Tumekuwa tukishuhudia tabia isiyofaa kutoka kwa baadhi ya mabasi ya abiria yanayofanya safari za usiku kutoka Mkoani Mwanza...
5 Reactions
6 Replies
344 Views
Anonymous
KERO 
Habari Jamiiforum. Mimi ni mkazi wa kigoma mjini naomba niwashirikishe changamoto yangu inayonisibu maana mamlaka husika imeshindwa kufuatilia hili suala kwa undani zaidi. Kumekuwa na Ongezeko...
2 Reactions
2 Replies
162 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo. Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya...
2 Reactions
16 Replies
313 Views
Anonymous
KERO 
Kituo cha Mabasi Korogwe Mkoani Tanga kibovu mashimo yamejaa tunatoboa matairi, ushuru tunalipa ila ni kero tupu. Tusipoingia tunakamatwa, hela zinaenda wapi za ushuru wa magari Stand ni mbovu...
4 Reactions
14 Replies
249 Views
Anonymous
KERO 
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) –...
4 Reactions
3 Replies
256 Views
Anonymous
KERO 
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote...
1 Reactions
8 Replies
623 Views
Anonymous
KERO Responded 
Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya! Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya...
2 Reactions
4 Replies
250 Views
Anonymous (4445)
KERO 
Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa...
1 Reactions
8 Replies
275 Views
Anonymous (ca61)
KERO 
Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa...
0 Reactions
14 Replies
291 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni dereva wa bus, ya kwanza ni kituo cha mabasi chemchem Bagamoyo, ndiyo kituo cha kwanza kupandisha ushuru kuwa mkubwa Tanzania, awali ilikuwa shilingi 2,000 kwa siku then sasa hivi...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Anonymous (01f4)
KERO Responded 
Mimi na familia yangu tumefika mara mbili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure baada ya kupoteza wapendwa wetu katika miezi tofauti, tumekutana na changamoto ambayo baada ya kuuliza...
3 Reactions
10 Replies
338 Views
Anonymous (38ac)
KERO 
🚍 KERO MWENDOKASI MBAGALA 1. Mfumo wa kupanda 🚫 Mwendo kasi za Mbagala hairuhusiwi kugeuza. Ukifika mwisho, lazima ushuke halafu upange mstari upya ili upate siti. 👉 Hii inalazimisha baadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
182 Views
Anonymous (38ac)
KERO 
Salaam JF. Pamoja na fremu za Mwenge (nimeona JF mmreripoti kuhusu hii ishu), kuna fremu za KMC Complex (Uwanja wa Mpira, Mwenge - Dar es Salaam). Hizi fremu ni kituko kinachoonekana mchana...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
KERO 
Sisi baadhi ya wananchi tuna malalamiko kuhusu hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Wilaya ya Igawilo, zipo changamoto mbalimbali zinazoathiri upatikanaji wa huduma bora za afya kwa leo...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni huduma za kibenki Manispaa ya Kibaha, Kibaha nzima ina bank yenye ATM ya Umoja Switch moja tu nayo iko Hospitali ya Tumbi ambapo pia ni kushoto sana kutoka huduma zingine zilipo...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Anonymous (01f4)
KERO 
Mimi ni Mkazi wa Vikindu Kazole Mtaa wa Cheta Bich, kero kubwa ya huku kiukweli kipindi kama hiki cha mvua barabara haipitiki hata kwa pikipiki hali ni mbaya sana. Zaidi ya sana natowa wito kwa...
1 Reactions
3 Replies
132 Views
Back
Top Bottom