Habari,
Mimi ni mzazi nawakilisha wazazi wenzangu ambao wamechoshwa na kero hii. Mimi ni Mkazi wa Kibaha Manispaa, mkoa wa Pwani. Tumechoshwa na kero ya michango mashuleni hasa shule ya Msingi...
Habari nafuatilia sana platform hii kwakweli kazi kubwa mnaifanya hasa kwa kutoa taarifa bila upendeleo Mwenyezi Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwaongoza vyema.
KERO YANGU KUBWA
Ni kuhusu hizi...
Natokea Tabora Manispaa, Kata ya Mpera, Mtaa wa Malabi.. Tumekuwa na shida ya umeme ya muda mrefu ambayo haipatiwi ufumbuzi.
Ndani ya siku 7 za week kuna siku 4 hadi 5 lazima tuwe hatuna...
Tangu mwaka wa masomo ulipoanza mwezi November 2025, baadhi ya wanafunzi TUNAOTUMIA MFUMO wa ZAMANI wa chuo hicho, tumekumbana na changamoto kadhaa na hatupati msaada kokote tunakokwenda.
Kwanza...
Kilio cha wanyonge sisi Wakazi wa Kihonda Yespa, Manispaa ya Morogoro nyuma ya tuta la mwendokasi, tunaomba maafisa ardhi waje kutatua migogoro mikubwa huku mtaani kwetu, kuna kiongozi anasema...
Kuna watumishi tumemaliza mwaka hatujalipwa fedha za kujikimu. Kuna baadhi wamekuja na hawana mda mrefu wameshalipwa kwani wanalipana kwa kujuana.
Kuna wanaotakiwa kulipwa Tsh 150,000/= na Tsh...
Pale Central Police Station ni kwamba hakuna accountability and transparency yaani hakuna uwajibikaji na uwazi kwa baadhi ya Maafisa Polisi wa pale.
Mtu unapeleka kesi ya mtuhumiwa pale na...
Kumekuwa na kawaida ya eneo la Msata kuelekea Kituo cha Afya kukosa maji mara kwa mara, tunapowapa taarifa ya kupasuka kwa bomba wanafunga maji hadi siku tatu tukiwauliza wanasema hawana hela ya...
Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari...
Sisi wananchi wa Tarime tunapata shida sana kutumia barabara inayotoka Tarime Mjini kuelekea Kata ya Magena ambapo kuna shule, hospitali na Uwanja wa Ndege kutokana na ubovu wa barabara hiyo...
Mimi ni mdau wa JamiiForums naishi Zanzibar Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B wadi ya Dimani Mombasa.
Kero yangu ni kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi...
Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai...
Hellow habari za Majukumu...
Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana...
Habari,
Mimi ni mkazi wa Morogoro mjini.
Changamoto niliyokutana nayo TTCL Morogoro ni kuwa nilituma maombi kwa ajili ya kuja kufungiwa fiber internet kwenye eneo langu la kazi lakini maombi...
Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu.
Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana...
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.
Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na...
Habari
Mimi ni mdau wa JamiiForums, nina hoja kuhusu suala la elimu
Kwa wanafunzi wanaosoma shule za serikali Tanzania kwanini wizara ya elimu inawaruhusu wanafunzi vipindi vya masomo wanaenda...
Jengo la Sophia House lililopo eneo la Bakhresa (Tazara) linavujisha maji ya chooni kwa upande wa nyuma, na maji hayo yananuka na yanaweza kusababisha magonjwa sababu yanaingia moja kwa moja...
Kariakoo ni kitovu cha biashara na panaingiza fedha nyingi sana lakini ni eneo ambalo ni limesahaulika na watu wa manispaa au serikali za mitaa wanachojua ni kukusanya service levy tu.
Mfano...
Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee?
Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.